Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,079
- 8,219
2030 linaingia bulldozer lingine, na lichama lao lishajifia!! Walisema wataandamana, wametulizwa wanabaki kulia liaKuna kundi la chuki la Raisi wetu anachofanya chochote sicho hawa watu washazoeya kunywa maji kikuku ,leo wamekuwa na midomo sana juu yako hebu watie moto kidogoo katika ndimi zao hata Nabii Mussa alikuwa nae yule Samiriyu.Ukiwa mpole sana watakutia vidole vya macho yule buldozer aliwavuruga hawa hawa vidomo domo wakaaa kimya sana.