Rais Samia: Polisi angalieni upya taratibu zenu za upelelezi, kuwaweka watu mahabusu muda mrefu ni gharama kwa Serikali

Jeshi la Polisi limejaa wahuni wengi waliokuwa Green Guard, ambao hawana mafunzo, sifa wala weledi kwa kazi nyeti ya upolisi.
watu wanaleta hoja za maana wewe unaleta UCHADEMA -GAIDI- HOVYO
 
Hujajibu swali, mtu kupata div 4 maana yake hana akili?
Akili yake ndogo, na hicho ndicho kipimo kilichokubaliwa kwa walioamua kusoma. Vinginevyo kuwe na sababu za ziada kama ugonjwa n.k. Ndio maana hata waajiri uangalia ufaulu kwa vyeti then mengine yanafuata.
 
Alipokuitana nao mara ya mwisho akawaambia ooh mnabamkikiza kesi na kesi zooote mlizobambika futeni, kesho yake tu Sirro akamjibu tunataka miaka miwili ndio tufute sasa leo ngonjera zinaendelea ooh sijui mahabusu sijui nini, we dont have a president hapa tumepigwa sana hapa, alitakiwa atoe maagizo na asimamie kama hayatekelezeki atumbue watu , sasa yeye anadhani wanampenda sana kwa kujichetua na kujichekesha, mwenzie jiwe alikua ikiwezekana anakuua kama hutaki maagizo yake ila bahati nzuri naye kafwa
 
Na wao kwanini wawatake watu wenye division 4 pekee wakati wa division 1 na 2 na 3 wapo wengi?
Ndani ya polisi unafundishwa kutii amri siyo kutumia akili kuchambua mambo .Ukiambiwa shoot unafyatua siyo unahoji why?
 
Ni vyema kabla ya kuhukumu ungesikiliza hotuba yote, huyu John yeye kachomoa kakipande kadogo sana katika hili, Rais kaongea kirefu zaidi, nimemsikiliza mwanzo mwisho, ingia you tube ya tbc kuna hiyo hotuba yote, then utacomment ukiwa full informed
Kuna kundi la chuki la Raisi wetu anachofanya chochote sicho hawa watu washazoeya kunywa maji kikuku ,leo wamekuwa na midomo sana juu yako hebu watie moto kidogoo katika ndimi zao hata Nabii Mussa alikuwa nae yule Samiriyu.Ukiwa mpole sana watakutia vidole vya macho yule buldozer aliwavuruga hawa hawa vidomo domo wakaaa kimya sana.
 
Kumbe nae anazijua kesi za kubambikiza, natumai Sirro amemsikia bosi wake, aache kutisha wapinzani na kukamata watu bila ushahidi, iwe mwisho.

Vinginevyo anachokiongea Samia hapo ni usanii mtupu, wengi kukamatwa kwa kesi za kubambika huwa ni kwa manufaa yao CCM analijua hilo.
Ni full usanii. Anaetoa maagizo kwa Polisi ni CCM. M/ Kiti wa CCM Taifa ni Nani??

Ninachokiona hapa ni anguko la CCM. Ukishaona wameishiwa mbinu za kukamata na kuanza kuwavizia watu wenye Sare Fulani Makanisani ujue mwisho wao umekaribia.
 
Sisi tuna comment kilichowekwa hapa na sio kingine.
Mambo ya kuwaambia polisi wajiangalie ni upuuzi haswa. Wanatakiwa kukemewa na kuchukuliwa hatua...kesi zipo, malalamiko yapo.

Hakuna rais humo...bellow average
JPM na ukauzu wake wote hajawahi kuwakemea polisi or Jeshi, hao polisi walipoenda kumlalamikia kuhusu Ninja alimtoa faster na kumuonya Simbachawene aangalie jinsi ya kudili na polisi, aige mfano wa mwinyi akiwa waziri wa ulinzi!! At least Samia anawapa makavu hadharani! Hakuna Rais ataridhisha kila mtu na kila kundi, Below avarage to you is above avarage to others
 
Akili yake ndogo, na hicho ndicho kipimo kilichokubaliwa kwa walioamua kusoma. Vinginevyo kuwe na sababu za ziada kama ugonjwa n.k. Ndio maana hata waajiri uangalia ufaulu kwa vyeti then mengine yanafuata.
Inategemea na ajira, siyo ajira zote zinaangalia hayo ma A
 
Ni vyema kabla ya kuhukumu ungesikiliza hotuba yote, huyu John yeye kachomoa kakipande kadogo sana katika hili, Rais kaongea kirefu zaidi, nimemsikiliza mwanzo mwisho, ingia you tube ya tbc kuna hiyo hotuba yote, then utacomment ukiwa full informed
Achana na hawa machizi, Wana chuki za kidini kwa Samia
 
Obvious mtu mwenye Div 1 kwanza hawazi kuwa polisi.....na ukweli ni kwamba mtu anaenda kuwa polisi baada ya kwamba amefeli hivyo hana option.
Ni kweli,lakini tujiulize kwanini hawaendi polisi?kwani ndio kazi ngumu zaidi au ndio kazi yenye mshahara mdogo zaidi? hapana,lazima kuna vitu hawavipendi kuhusu upolisi,hivyo ndio vinalaamikiwa kila siku humu na mitaani
 
Back
Top Bottom