Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimeshindwa kuzimalizia Hosteli za Magufuli?

JackisonDubai

JF-Expert Member
Mar 27, 2023
537
1,274
Hayati Rais Magufuli aliwajengea UDSM hosteli za kulala wanachuo nzuri na za kisasa kabisa, cha kushangaza nimerudi baada ya miaka miwili hostel bado hazijafanyiwa finishing kwenye flat zake za juu. Juu ya hizo hosteli Kuna mirunda na magogo Kwa kweli inashangaza.

Ikumbukwe kabla ya hostel za Magufuli kujengwa wanafunzi wa chuo kikuu Cha Dar es Salaam walikuwa wanateseka sana na wengine kubakwa kila wakienda kupanga mitaani lakini Sasa shida hiyo haipo lakini hazimaliziwi vizuri mpaka leo.

Shida ni nini wakati uongozi wa UDSM wanakusanya hela kutoka Kwa kila mwanafunzi?
 
Hayati Rais Magufuli aliwajengea UDSM hosteli za kulala wanachuo nzuri na za kisasa kabisa, Cha kushangaza nimerudi baada ya miaka miwili hostel bado hazijafanyiwa finishing kwenye flat zake za juu!! . Juu ya hizo hosteli Kuna mirunda na magogo Kwa kweli inashangaza.

Ikumbukwe kabla ya hostel za Magufuli kujengwa wanafunzi wa chuo kikuu Cha Dares salaam walikuwa wanateseka sana na wengine kubakwa kila wakienda kupanga mitaani lakini Sasa shida hiyo haipo lakini hazimaliziwi vizuri mpaka leo.

Shida ni nini wakati uongozi wa UDSM wanakusanya hela kutoka Kwa kila mwanafunzi?
Awamu ya kwanza ilisha-kwisha, ila waliacha provision ya kuextend, ndio sasa wanaextend ghorofa mbili juu nadhani
 
Hayati Rais Magufuli aliwajengea UDSM hosteli za kulala wanachuo nzuri na za kisasa kabisa, cha kushangaza nimerudi baada ya miaka miwili hostel bado hazijafanyiwa finishing kwenye flat zake za juu. Juu ya hizo hosteli Kuna mirunda na magogo Kwa kweli inashangaza.

Ikumbukwe kabla ya hostel za Magufuli kujengwa wanafunzi wa chuo kikuu Cha Dar es Salaam walikuwa wanateseka sana na wengine kubakwa kila wakienda kupanga mitaani lakini Sasa shida hiyo haipo lakini hazimaliziwi vizuri mpaka leo.

Shida ni nini wakati uongozi wa UDSM wanakusanya hela kutoka Kwa kila mwanafunzi?
Hakuna hostel za Magufuli zile ni hostel za chuo zilizojengwa kwa kodi zetu watanzania wote.
 
Usisahau Magufuli alipopumzishwa, Jakaya aliteuliwa kuwa mkuu wa chuo. The flat the surface the flat the sky, the polygon the shape the polygon the figure.
JK aliteuliwa kama kansela wa chuo. Kansela hana maamuzi kwenye mipango ya chuo. Ndio maana hata wewe unaweza kuwa kansela!

Wenye nguvu ni VC na DVC's ambao ni lazima wawe wasomi/maprofesa!
 
Hayati Rais Magufuli aliwajengea UDSM hosteli za kulala wanachuo nzuri na za kisasa kabisa, cha kushangaza nimerudi baada ya miaka miwili hostel bado hazijafanyiwa finishing kwenye flat zake za juu. Juu ya hizo hosteli Kuna mirunda na magogo Kwa kweli inashangaza.

Ikumbukwe kabla ya hostel za Magufuli kujengwa wanafunzi wa chuo kikuu Cha Dar es Salaam walikuwa wanateseka sana na wengine kubakwa kila wakienda kupanga mitaani lakini Sasa shida hiyo haipo lakini hazimaliziwi vizuri mpaka leo.

Shida ni nini wakati uongozi wa UDSM wanakusanya hela kutoka Kwa kila mwanafunzi?
Hiyo si ndio tuliambiwa ni expansion joint , au wewe haukuwepo ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Hayati Rais Magufuli aliwajengea UDSM hosteli za kulala wanachuo nzuri na za kisasa kabisa, cha kushangaza nimerudi baada ya miaka miwili hostel bado hazijafanyiwa finishing kwenye flat zake za juu. Juu ya hizo hosteli Kuna mirunda na magogo Kwa kweli inashangaza.

Ikumbukwe kabla ya hostel za Magufuli kujengwa wanafunzi wa chuo kikuu Cha Dar es Salaam walikuwa wanateseka sana na wengine kubakwa kila wakienda kupanga mitaani lakini Sasa shida hiyo haipo lakini hazimaliziwi vizuri mpaka leo.

Shida ni nini wakati uongozi wa UDSM wanakusanya hela kutoka Kwa kila mwanafunzi?
Expansion joint 😁😁
 
Walifanikiwa kumpa nini hi Phd tu,
 
Back
Top Bottom