Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,708
- 5,711
Ahaaaa, acha utoto unazeeka sasa.Endeleeni kutumia yale malori marefu. Treni ya mwendo kasi ni kwa ajili ya abiria na mizigo ya kawaida tu na siyo kwa ajili ya kusafirishia wanyama.
Tumewamulia sana kule Chato mlipotumia mikokoteni ya punda kuvuka kwenye zile taa za kuongozea vyombo vya moto. Tuseme tu inatosha.