Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 81,084
- 93,891
CCM ni wachawi huenda wanaloga haswa
Kwa maombi ,na mafuta ya kukanyaga , ugonjwa utaondoka.Mafua ya damu yamefika nasubiri wafia dini waje kunena kwa lugha kua ni dalili za siku za mwisho
HatuachiWATU waache kulakula vitu visivyojulikana! ... mara chamaki'nchanga, mara chamaki'uchiku(popo) ... 'ata huyo ngichi pia mchile!
Mkuu unahasira sana jiwe kwani alikufanya nini ? maana Moto unao wawashia vijana wake humu hatari Sana😄Huna akili
KWAKWELI!😅
Kwa hiyo Rais anajua chanzo chake hadi aseme sababu ni uharibifu wa makazi ya viumbe?
Rais Samia Hassan amesema kuna maradhi ambayo hayakuwepo siku za nyuma lakini yanajitokeza siku za karibuni kwa kuwa uharibifu wa misitu unasababisha Viumbe wa Msituni wasambae kwa Wanadamu
Amesema “Nilikuwa nazungumza na Waziri Mkuu juzi, ametoka ziara Mikoa ya Kusini (Lindi), ameniambia ameona maradhi mapya yameingia. Watu wanatokwa na damu za pua na wanadondoka chini”
Rais anaongeza "Hatujui ni kitu gani, Wanasayansi wamehamia huko kwa uchunguzi zaidi kwa kuwa ni Watu wengi wanaougua kwa mfululuzo, na yote ni kwa sababu tunaharibu makazi ya viumbe kule walikowekwa na Mungu. Tunawasogeza kwetu wanatuletea maradhi”
Rais Samia amezungumza hayo leo, Julai 12, 2022 katika Maadhimisho ya Mkutano wa 20 wa Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki ya Afrika Mashariki (AMECEA)
Ni lazime iwe virusi!?Hujui ni ugonjwa gani, unasababishwa na nini, how it infect human, umeanzia kusini kwetu au imported; lakini tayari umehitimisha chanzo chake ni kuingilia biodiversity ya wanyama pori huna supporting evidence ya virus kuruka kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu.
Hahaha....... Mangi wa kimara huyoMkuu unahasira sana jiwe kwani alikufanya nini ? maana Moto unao wawashia vijana wake humu hatari Sana😄
Hasa kwa wataliiAngesubiri wataalamu waje waseme ni ugonjwa gani. Hii itazua taharuki hata kwa wageni wanaokuja
Nashauri tupunguze uchomaji mkaa, tuboreshe huduma za umeme na gasRais anaongeza "Hatujui ni kitu gani, Wanasayansi wamehamia huko kwa uchunguzi zaidi kwa kuwa ni Watu wengi wanaougua kwa mfululuzo, na yote ni kwa sababu tunaharibu makazi ya viumbe kule walikowekwa na Mungu. Tunawasogeza kwetu wanatuletea maradhi”
Wanawake ni ngumu sana kutunza siri..pm kazunguka huko kusini mpaka kamaliza ziara karudi dsm ndio ka mwambia..yeye kesho yake kaanika hadharani...ingawa pm naye muongo muongo sana.Jambo hujalifanyia utafiti inaanza kuropoka unazua tu taharuki nimeamini mwanamke hafai kushika nyadhifa kubwa kakaa kiumbea umbra tu.
Au ndo wanataka kutubwagia kirusi kipya waitangazie dunia kuwa Kuna kirusi kingine kimeibuka Tanzania kinatokana na wanyama .....kama kirusi Cha monkeyHalafu watu wa kusini tupo wala hatujui hizo habari. Tunaendelea kuishi tu hakuna hata mmoja tumeshuhudia kaanguka.
Nawe si ujiue tu ili ufe ukumbukwe kwa upumbavu wako TZ kuliko kumuonea wivu Mwamba Hayati JPM?Angelisaidia nini?
Ayseee... Kweli JF ni mahali patamu katika kujifunza mengi kupitia Great ThinkersYanatengenezwa mazingira ya chanjo mapya kuingizwa mzigoni!
Kashike wewe Basi,kwa taarifa yako huyo ndo rais wako Hadi 2030.Jambo hujalifanyia utafiti inaanza kuropoka unazua tu taharuki nimeamini mwanamke hafai kushika nyadhifa kubwa kakaa kiumbea umbra tu.