GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,651
- 109,048
85% ya Waliofaulu jana hawana Uwezo.Kuna ka ukweli hapo
Nilimsikia pia, ila nasikitika sijui ni kwanini sikumrekodi Siku ile ibaki kama Kumbukumbu Kwangu.Naomba mwenye ile audio ya SSH akisema mwaka huu hakubali mpaka matokeo ya wanafunzi wa unguja (sehemu aliyozaliwa) yawe mazuri AITUME.
Dogo langu limepiga Two PCB ila alikuwa anapost status za kwamba aliingia Chaka sana haswa chemistry alitegemea sijui practical ya titration ila Jana kafurai sana85% ya Waliofaulu jana hawana Uwezo.
Nakubaliana nawe asilimia 1001. Ni Matokeo ya Kisiasa ili kukupa Moyo uone Elimu ya Tanzania ni nzuri wakati Mimi GENTAMYCINE kama Mwanataaluma naiona ilikuwa ICU na sasa inaenda kuhifadhiwa Mortuary kwa Maziko.
2. Ni Matokeo ya Kukudanganya ili Watendaji wa Sekta ya Elimu wawe na uhakika na Ajira zao na Mkate wao wa kila Siku.
3. Ni Matokeo ya Kuwahadaa Wazazi wao kuwa Watoto wao wana Akili sana wakati Kiuhalisia na tunavyokaa nao katika Mitaa yetu tunajua kuwa hawana kabisa hizo Akili.
4. Kitaaluma na Kisaikolojia haiwezekani kukawa na above 85% to 85% ya Ufaulu wa Wanafunzi ( tena hawa Goi Goi ) tulionao wa sasa.
5. Rais Samia kungekuwa na Ufaulu huo wa Kimbunga ambao kila mwaka tunatangaziwa basi Wahadhiri wa Vyuo Vikuu wasingekuwa Wanalalamika kuwa Wanafunzi wanaokutana nao huko wana very low thinking capacity hivyo wanawapa Usumbufu wa Kitaaluma.
6. Ni Matokeo ya Kiini Macho tupu tu.
7. Ni Matokeo yanayoonyesha tabia ya Usanii ya Watanzania na jinsi gani Kizazi cha baadae cha Watanzania kitatawaliwa na Wasanii na Goi Goi watupu.
GENTAMYCINE siyaamini hayo Matokeo tena kwa 100% na nijuavyo ni kuwa kama Mdau wa Elimu kwa sasa Elimu ya Tanzania si tu kwamba ipo ICU bali imeshafariki na inasubiria Kuzikwa tu.
Hata Jeshini mkienda Kozi mbalimbali hamuwezi nyote mkamaliza kwa idadi ile ile mliyoanza lazima kuna ambao Wataumia, Watateguka Bandana, Kolomero, Watazimia na hasa Kufa kabisa.
Naionea Huruma Elimu ya Nchini.
Asante na tupo pamoja sana Mkuu.Nakubaliana nawe asilimia 100
Hatuwezi kujikomboa kufikra kwa matokeo ya kupika. Kuanzia kipindi cha mwendazake kuna siasa nyingi sana kwenye matokeo ya msingi na sekondari.Watanzania kwa kutojiamini wapo wengi sana...Kila mara hawaoni kama wanaweza kufanya makubwa bali wanadhani majirani na wale wa majuu ndio wenye haki miliki za kufanikiwa lakini sio wao...Ni Ujinga uliopitiliza.
Wanaosema matokeo ya kidato cha sita ya mwaka yana mushkeri watoe data za kuunga mkono madai yao, siyo kuishia kubwabwaja tu kama wapo kwenye kombolela!
Tuthamini na kuenzi vya kwetu kuliko kushadidia vya wenzetu...Tujikomboe kwanza kifikra na mengine yatafuata.
Jana baada ya kuona hayo matokeo niliingia jamii forum kuona kama kuna uzi wa namna hii. Kii ukweli imenipa kutafkari sana miaka kumi mbili itakuaje. Shule ambazo hata hazikuwahi kua kwenye historia unakuta ghafla ina division one 100 division two 1201. Ni Matokeo ya Kisiasa ili kukupa Moyo uone Elimu ya Tanzania ni nzuri wakati Mimi GENTAMYCINE kama Mwanataaluma naiona ilikuwa ICU na sasa inaenda kuhifadhiwa Mortuary kwa Maziko.
2. Ni Matokeo ya Kukudanganya ili Watendaji wa Sekta ya Elimu wawe na uhakika na Ajira zao na Mkate wao wa kila Siku.
3. Ni Matokeo ya Kuwahadaa Wazazi wao kuwa Watoto wao wana Akili sana wakati Kiuhalisia na tunavyokaa nao katika Mitaa yetu tunajua kuwa hawana kabisa hizo Akili.
4. Kitaaluma na Kisaikolojia haiwezekani kukawa na above 85% to 85% ya Ufaulu wa Wanafunzi ( tena hawa Goi Goi ) tulionao wa sasa.
5. Rais Samia kungekuwa na Ufaulu huo wa Kimbunga ambao kila mwaka tunatangaziwa basi Wahadhiri wa Vyuo Vikuu wasingekuwa Wanalalamika kuwa Wanafunzi wanaokutana nao huko wana very low thinking capacity hivyo wanawapa Usumbufu wa Kitaaluma.
6. Ni Matokeo ya Kiini Macho tupu tu.
7. Ni Matokeo yanayoonyesha tabia ya Usanii ya Watanzania na jinsi gani Kizazi cha baadae cha Watanzania kitatawaliwa na Wasanii na Goi Goi watupu.
GENTAMYCINE siyaamini hayo Matokeo tena kwa 100% na nijuavyo ni kuwa kama Mdau wa Elimu kwa sasa Elimu ya Tanzania si tu kwamba ipo ICU bali imeshafariki na inasubiria Kuzikwa tu.
Hata Jeshini mkienda Kozi mbalimbali hamuwezi nyote mkamaliza kwa idadi ile ile mliyoanza lazima kuna ambao Wataumia, Watateguka Bandana, Kolomero, Watazimia na hasa Kufa kabisa.
Naionea Huruma Elimu ya Nchini.
Wazazi wa Siku Wazae Watoto Werevu kama ambavyo Wazazi wetu wa Zamani walituzaa Watoto 'Geniuses' kama Sisi.Toeni suluhisho, siyo lawama tu. Nini kifanyike sasa. Je, vijana wasisome au iwe nini sasa?