Tunatembea kifua mbere
giphy.gif
mkuu hawa ni Utopolo usituchanganyie ma file 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuhutubia bunge la Kenya ni heshima?

Jamani kwanini chadema mnajidharau sana?

Mimi nilifikiri mnajidharau kwa wazungu tu kumbe hata kwa waafrika wenzenu toka hapo Kenya?

Any way,

Tuendelee kudemka tukisema Samia mi 10 tena. Na ccm mbele kwa mbele.

Wewe kijana mtu wa hovyo sana na ujuaji wako ni wa hivyo pia. Katika diplomasia na uhusiano wa kimataifa, hakuna heshima zaidi anapewa kiongozi wa nchi kama kuhutubia bunge na nchi mualika!! Bunge ni chombo cha maaamuzi ya nchi. Usichukulie Bunge letu lilivo na ukadhani na mabunge ya nchi nyingine yako kama letu. Dharau kwa Bunge letu usilipeleke kwa mabunge ya nchi nyingine!!

Sijazungumza kama mpenda siasa hapa (sikuwahi kuwa muumini wa siasa). Chadema wamejidharauje kwa wakenya? Ndio wamemtuma mama akahutubie? Au unasema Rais kwenda kuhutubia Bunge la Kenya ni dharau kwake?? Watoto wa siku hizi mnakwama wapi? Ujinga kushoto kulia na katikati!!
 
Awashauri kuhusu BBI kuwa wakitaka taifa Moja wafute matumizi ya lugha za kikabila mashuleni,ofisi za serikali ,mikutano ya kisiasa na kwenye media zote kama tulivyofanya Tanzania na serikali isipeleke MTU kufanya kazi eneo alilozaliwa LA kabila yake

BBI hili tatizo halijatatua hatutaki watwangane tena watutake watanzania tumpeleke Kikwete akawasuluhishe tena
Unasemaje kuhusu mwenda zake kutumia kisukuma katika mikutano yake?
 
Tatizo lake ni kwamba anayehutubia siyo Jiwe, na kwamba hakuwahi kupata bahati kama hiyo. Hivi nchi gani ingekubali bunge lake lihutubiwe hotuba kama zile.......
Na wangemwalika akautubie bunge ungesikia anamwambia spika hawa wabunge wakikubishia fukuza haiwezekani serikali iwalipe mishahara minono halafu wapinge bajeti huo ndio ukweli...........
 
Usiandike ambacho hukijui.
Uchumi wa Kenya uko juu na wala tusipepese macho. Jiulize kwa nini Kenya ina makampuni zaidi ya 200 yaliyowekeza Tanzania na je Tanzania wana Makampuni mangapi yaliyopo Kenya? Nchi zote za Afrika Mashariki ni soko la bidhaa za Kenya. Uchumi haudanganyi.

Angalia takwimu za bajeti za Afrika Mashariki kwa mwaka 2019/20; Kenya Tsh 66.8 Trilion, Uganda Tsh 23.6 Trillion na Tanzania 30.4, Rwanda Tsh 6.8 Trilion, Burundi 1.8 Trilion na South Sudan Tsh 3.5 Trillion (ambayo jumla ya yote ni Tsh 66.1 Trilion). Picha unayopata ni kwamba uchumi wa Kenya ni mkubwa kuliko nchi zingine zote 4 za Afrika Mashariki yote zikiwekwa pamoja.
Uhalisia ni GDP hayo mabajeti huwa ni ya uongo, jiulize tz mnakusanya sh? kwa mwezi sasa hiyo trilion 30 inatoka wapi.
 
Wewe kijana mtu wa hovyo sana na ujuaji wako ni wa hivyo pia. Katika diplomasia na uhusiano wa kimataifa, hakuna heshima zaidi anapewa kiongozi wa nchi kama kuhutubia bunge na nchi mualika!! Bunge ni chombo cha maaamuzi ya nchi. Usichukulie Bunge letu lilivo na ukadhani na mabunge ya nchi nyingine yako kama letu. Dharau kwa Bunge letu usilipeleke kwa mabunge ya nchi nyingine!!

Sijazungumza kama mpenda siasa hapa (sikuwahi kuwa muumini wa siasa). Chadema wamejidharauje kwa wakenya? Ndio wamemtuma mama akahutubie? Au unasema Rais kwenda kuhutubia Bunge la Kenya ni dharau kwake?? Watoto wa siku hizi mnakwama wapi? Ujinga kushoto kulia na katikati!!
Mkuu huyo jamaa ni MJINGA SANA,UCHAMA UMEMKAA KICHWANI MPAKA UMEPOFUA MACHO
 
Mama Samia asisahau kwenda na barakoa wakenya wanaabudu miungu wawili mungu wa kwanza ni Corona wa pili ni barakoa
 
kwamba anaumia samia kuhutubia bunge!!!

mara nyumbu mmeshakuwa wafiasi wa samia ghafla
mmesahau vita ni kwa ccm.
 
Hivi nani aliyepata hasara zaidi? Aliyefungia lakini yupo hai au aliyeidharau corona, halafu ikamwondoa Duniani?
wewe paka,nani kakwambia corona imeua kiongozi tz!!!

halafu siku hizi haipo!!!!
 
Naunga mkono hoja. Taratibu tunafuta makosa makubwa sana yaliyofanywa na Mwendazake.

Ilikuwa ni ajabu mara Magufuli alipokwenda Rwanda immediately baada ya kuwa Rais pale 2015. Kwa kipindi like JK hakuwa na mahusiano mazuri na Kagame kutokana na operesheni ya M23 ambayo majeshi yetu yalifanya pale DRC. Sikutegemea Mwendazake angekwenda kuke so fast. It was terrible mistake.

On the contrary akawa na bifu na Kenya kwa karibu kila kitu. Ni KICHAA tu ndiye anaweza kugombana na nchi ambayo kwanza ana share mpaka kwa km zaidi ya 1000 toka Mombasa- Kisumu, pili makampuni ya Kenya zaidi ya 200 yamewekeza Tanzania na kuifanya Kenya nchi ya pili kwa uwekezaji Tanzania.

Na tatu mazao yetu ya kilimo soko kubwa liko Kenya.

Hongera Rais SSH kwa kuanzia hapo na Ni matatajio yetu kuwa tutajenga uchumi kwa kasi kati yetu. Halafu tunategemea tena kusikia grammar nzuri ya English kama ilivyokuwa Uganda na Museveni
uzuri ni kwamba nyinyi ni kama watoto waliodelezwa,mnakuwaga wa kwana kulia.

tupo hapa,wacha tuone huyu mama anataka nini.
 
Magufuri aliwapigisha magoti akina Kinyatta,akuwapereka lkuru yetu,kawapeka kijiji chato huko na wakaufiata tena sio mara moja, Magufuri alikuwa kiboko ya manyangau,kapiga pini kwenye madini yetu sasahivi uchumi wa Kenya unapumlia mashine, sasahivi wanamshawishi Samia alegeze kamba kidogo.
Vifaranga kiberiti.
 
Nchi mbili na siku arobaini😊☺️
====
Namtakia safari njema Rais wetu mpendwa. Amiin.
 
Back
Top Bottom