Mkuu kwa akili za kibavicha ni kwamba hiyo wanamkomoa marehemu.
Kweli nyie ni ng'ombe kabisa! Kwani Rais Samia akienda Kenya anaenda kama Rais wa CCM au Tanzania? Aklpewa heshima kule ni heshima ya Tanzania bali akidharauliwa (kama alivyokuwa anadharauliwa baba yenu) pia ni dharau kwa Tanzania.
Huyo marehemu wako alitufedhehesha sana katika mengi nje ya nchi
 
Nani alikuwa anadharauliwa?

Hata Jk ambae kwa midomo yenu mlisema ni rais dhaifu alipewa hiyo heshima yenu ya kuhutubia bunge la Kenya,

Ila inafurahisha kuona bavicha sasa hivi mmejigeuza uvccm. Mnafanya kazi ya uvccm ili eti kumkomoa marehemu nyumbu bhana.
 
uchumi imara unaujua wewe,au unadha uchumi ni nguvu za kiume
Mjinga huyo! Wamezoea propaganda wamelishwa toka tunapata uhuru kwamba Kenya inatuzidi wakati nchi yao sasa hivi inawekwa kundi moja na Zimbabwe!

Hawa jamaa wakisikia Kenya wanatetemeka balaa

Ndio maana mgombea wao ilikuwa akiongea maneno mawili tu lazima ataje Kenya
 
Kwa hiyo Mama na JK ni kitu kimoja?
Cha muhimu hasijisahau kuvaa barakoa popote aendapo huko Nairobi ikiwa pamoja na Bungeni iigeni umakini wa Serikali ya Uganda kuhusu namna ya kujikinga na COVID wakati wa zihara ya Rais Samia nchini Uganda they never took chances - narudia kuwakumbusheni kwamba kuweni makini na microphone,ku-keep social distance nk - msiwamini sana jirani wetu hawa.
 
Mimi mwana CCM lakini nasimama kwenye ukweli. Kama huijui Kenya na huwezi kuchukua time ku Google kwenye simu yako basi mjadala utakuwa mgumu
Kumbe ni uchumi wa kwenye Google?

Basi nmekuelewa
 
Mama Samia asisahau kwenda na barakoa wakenya wanaabudu miungu wawili mungu wa kwanza ni Corona wa pili ni barakoa
Shukrani kwa kukumbusha suala hilo la umuhimu wa kipekee - warudie zoezi walilo fanya akiwa Wizarani Uganda na wakumbuke vile vile kwamba Kenya ni mojawapo ya mataifa yaliyo kumbwa na variant mpya ya COVID.
 
uzuri ni kwamba nyinyi ni kama watoto waliodelezwa,mnakuwaga wa kwana kulia.

tupo hapa,wacha tuone huyu mama anataka nini.
Magufuli alikuwa kichaa, nenda MUHIMBILI kitengo cha Mental Health kuna faili lake. No wonder alikuwa mropokaji na mwenye maamuzi ya HOVYO
 
Magufuli alikuwa kichaa, nenda MUHIMBILI kitengo cha Mental Health kuna faili lake. No wonder alikuwa mropokaji na mwenye maamuzi ya HOVYO
file la ukichaa wa rais likae mhimbili,kwavile lako na la baba yako umeyakuta huko unadhani kila mtu analo pale.
 
Amekimbia siku ya uhuru wa habari haaa na huko atatwangwa maswali akome
Kama ni siku ya Uhuru wa habari basi yeye tayari ni champion. Maana ndani ya siku 30 aliweza kutoa maagizo ya kuvifungulia vyombo vya habari vilivyo fungiwa na Mwendazake na aka himiza Bunge likosoe kwa lugha ya Bunge.

Na kama wamiliki wa vyombo vya habari kupitia vyama vyao wangekuwa FAIR, wangempa Rais SSH tuzo kwa hatua hiyo na kutambua mchango wake katika kusimamia Uhuru wa vyombo vya habari
 
file la ukichaa wa rais likae mhimbili,kwavile lako na la baba yako umeyakuta huko unadhani kila mtu analo pale.
Kama una lingine sema, lakini mimi nakuhakikishia, amewahi kupata huduma pale kabla hajakuwa Rais. He was a psychiatrist case
 
Kumbe ni uchumi wa kwenye Google?

Basi nmekuelewa
Najuwa huipendi Kenya by induction ya falsafa ya Mwendazake. Na ni vigumu ukikutana na mtu ambaye amekuwa brainwashed na Mwendazake to the fullest.

Mimi nimetembelea Kenya mara nyingi sana kikazi, naifahahamu, nimekupa tool ya Google ili ikusaudie kupata takwimu mbalimbali.
Lakini ukitaka kuendelea kumtegemea mwanadamu aliyekufa na kuzikwa Chato sawa ni chaguo lako.
 
Najuwa huipendi Kenya by induction ya falsafa ya Mwendazake. Na ni vigumu ukikutana na mtu ambaye amekuwa brainwashed na Mwendazake to the fullest.

Mimi nimetembelea Kenya mara nyingi sana kikazi, naifahahamu, nimekupa tool ya Google ili ikusaudie kupata takwimu mbalimbali.
Lakini ukitaka kuendelea kumtegemea mwanadamu aliyekufa na kuzikwa Chato sawa ni chaguo lako
Usiwe mjinga!

Hujatembelea Kenya pekeako, hata sisi tunaenda Kenya kila mara na tunaona maisha halisi wanayoishi Wakenya!

Mmepumbazwa na propaganda eti Kenya ina uchumi imara hivi umeenda huko field waliko Wakenya wenye Kenya yao uone maish yao wewe? Unaishia Nairobi alaafu unasema umetembelea Kenya?

Alafu mimi niichukie Kenya kwa kipi? Inanisaidia nini mimi?
 
Team JPM wanapigania nini, hawaelewi umuhimu wa safari Mh Rais kwenda Kenya, tena amepewa heshima ya kuhutubia bunge lao(+254), lakini pia ataambatana na timu ya wafanyabiashara wetu ambao watafanya kikao na wenzao wa Kenya.

+254 uchumi wao uko vizuri kuliko wetu,kuna fursa huko ya kuuza bidhaa za kilimo na mifugo.
 
Magufuri aliwapigisha magoti akina Kinyatta, akuwapereka lkuru yetu,kawapeka kijiji chato huko na wakaufiata tena sio mara moja, Magufuri alikuwa kiboko ya manyangau, kapiga pini kwenye madini yetu sasahivi uchumi wa Kenya unapumlia mashine, sasa hivi wanamshawishi Samia alegeze kamba kidogo.
Kwa uandikaji wako, nipende tu kukushauri ukazanie sana namna ya kuandika na kujifunza kiswahili kizuri. Ukifanya mazoezi hayo, utakuja kuwa mzuri kwenye uandishi na kutumia kiswahili kizuri kwenye maneno unayoandika.
 
Nashukuru mkuu, ujumbe wako nitaufanyia kazi,ila nafikiri ujumbe umefika hata kama sikwamuandiko nzuri
 
Haijulikani Kama ataongea Kiswahili au Kiingereza.

Lakini akiongea Kiswahili ataongea na watu wengi zaidi Kenya.

Ukienda sokoni Nairobi, Bujumbura, Lubumbashi, lugha inayovuma angani no Kiswahili
 
Back
Top Bottom