Rais wa Jamhuri ya muungano mheshimiwa Samia Suluhu anatarajia kulihutubia bunge la Kenya wakati atakapofanya ziara ya siku mbili nchini humo kuanzia kesho kutwa.

Hii no heshima kubwa inayotolewa kwa Tanzania baada ya Jakaya Kikwete kulihutubia bunge hilo wakati akiwaaga rasmi.
Wao walishawah kuja kuhutubia. Wakenya siwapendi wanajidai sana na kutuzalau sana
 
Aisha Jumwa - " BBI (Beba Baba Ikulu) ni kwinini, ni chungu haifai kwa Kenya"



https://www.businessdailyafrica.com › ...
BBI raises MPs' pay budget by Sh324m - Business Daily
BBI constitutional amendment proposal — The annual salary budget for MPs will increase by at least Sh323. 76 million if Kenyans approve ..

the basic pay of MPs annually or Sh26.98 million monthly.
Legislators are also entitled to juicy sitting and travel perks, mileage allowance, Sh250,000 housing allowance, Sh5 million car grant, Sh7 million car loan and Sh20 million mortgage.

The Treasury allocated Parliament Sh41 billion in the current financial year.

The BBI report further proposes to create the positions of prime minister, two deputy prime ministers as well as the office of the Leader of Official Opposition complete with a shadow Cabinet, all at taxpayers’ expense.

At the Senate, BBI team wants Article 98 of the Constitution amended to create vacancies for 94 Senators, being one woman and one man to be elected by the registered voters in each of the 47 counties.

The Constitution stipulates that the National Assembly consists of 290 members, each elected by the registered voters of single member constituencies; 47 women, each elected by the registered voters of the counties, each county constituting a single member constituency; 12 members nominated by parliamentary political parties according to their proportion of members of the National Assembly and the Speaker, who is an ex officio member.....
 
Kuhutubia bunge la Kenya ni heshima?

Jamani kwanini chadema mnajidharau sana?

Mimi nilifikiri mnajidharau kwa wazungu tu kumbe hata kwa waafrika wenzenu toka hapo Kenya?

Any way,

Tuendelee kudemka tukisema Samia mi 10 tena. Na ccm mbele kwa mbele.
Aliwahi kutokea mmoja hata kuongea na waandishi wa habari tena wa kihaya pale Uganda alishindwa! Nini maoni yako juu ya tukio lile?🤓🤓🤓
 
Mkuu kwa akili za kibavicha ni kwamba hiyo wanamkomoa marehemu.
Marehemu hakomolewi.

Kwa siasa zilivyo mara nyingi vyama pinzani huwachokoza walio wengi ili wapate Tamaa.

Hapa CDM wanawachokonoa team JPM maana Ndio walio wengi ili wachukie mama.
 
Kamanda uzuri wa CCM ni kuleta watu tofauti kila awamu ndio maana nawewe sasa umeunga mkono karibu sana
Rais wa Jamhuri ya muungano mheshimiwa Samia Suluhu anatarajia kulihutubia bunge la Kenya wakati atakapofanya ziara ya siku mbili nchini humo kuanzia kesho kutwa.

Hii no heshima kubwa inayotolewa kwa Tanzania baada ya Jakaya Kikwete kulihutubia bunge hilo wakati akiwaaga rasmi.
View attachment 1771171
 
Hakuna ubaya wa Raisi SSH kuhutubia jirani yetu,ni heshima kwa taifa letu.
Labda matokeo ya mazungumzo yao ya serikali hizi mbili ndio kitakuwa kipimo cha mafanikio.
 
Tunaamini ziara hiyo itaimarisha zaidi mashirikiano baina yetu na Kenya.

manufaa kwa pande zote na sio upande mmoja unufaike zaidi kuliko mwengine.

tunahitaji mashirikiano wenye faida kwa pande zote.

Tunaomba Rais wetu alindwe na maradhi ya corona awapo ziarani huko kenya.
Tunampenda sana na tunamhitajia sana Rais wetu.
 
Kuhutubia bunge la Kenya ni heshima?

Jamani kwanini chadema mnajidharau sana?

Mimi nilifikiri mnajidharau kwa wazungu tu kumbe hata kwa waafrika wenzenu toka hapo Kenya?

Any way,

Tuendelee kudemka tukisema Samia mi 10 tena. Na ccm mbele kwa mbele.
Utaumia sana. Habari za Chato?
 
Yani wewe unipige mimi korona.

Unaitoa wapi wakati wewe na mwenyekiti wako muda wote mlijifungia uvunguni kuogopa corona?

Umesahau kwamba chanzo cha chama lako kuanguka lilianza siku ile mwenyekiti wako ameamuru wabunge wajifungie uvunguni kuogopa corona?
Hivi nani aliyepata hasara zaidi? Aliyefungia lakini yupo hai au aliyeidharau corona, halafu ikamwondoa Duniani?
 
Mungu ni Mwema warudishe ushirikiano tuanze kuwapelekea mahindi na maharage hao wananchi wana njaa mno na wanahitaji sana chakula chetu sisi tupo busy kujitengenezea vigisu ili tukose ni ujinga huo Mama weka mazingira mazuri kazi iendelee sio kuporana hela mtaani...
 
Hii no heshima kubwa inayotolewa kwa Tanzania baada ya Jakaya Kikwete kulihutubia bunge hilo wakati akiwaaga rasmi.
Eeeenh Heee.

Wanamkumbuka Kikwete.

Sasa wanajua huenda kuna 'edition' mpya ya Kikwete imeingia!

Wanamlainisha kungali mapema.

Tusumbili kuona atakayofanya huko.

Hapa ndio utakuwa mwanzo mzuri wa kumfahamu vizuri kiongozi wetu huyu mpya.
 
Back
Top Bottom