Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,188
- 9,165
“Kwenye stahiki za Maimamu mioyo huwa inatuharibika kidogo kuna migogoro mingi misikitini Maimamu wanagongana ukiangalia ni nini ni sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah vile vilivyochinjwa yaani ni ugomvi"
"Hatuna amani za mioyo yetu, kwahiyo wanasema mkubwa humwambia mdogo na mdogo humwambia mkubwa sasa mimi mdogo naomba niwaambie ndugu zangu Maimamu amani na imani za mioyo yetu kwanza ndiyo mambo yetu yatakuwa vizuri sana kule msikitini”-Rais Samia Suluhu