Rais Samia kuhudhuria na kuhutubia Baraza Kuu la 76 la Umoja wa Mataifa Jijini New York

Mbona China wanakuja huku wanazungumza ki China? Putin kwenye mikutano ya kimataifa anazungumza ki Russia, unafikiri hata mkalimani angekosa? anyway kiingereza sio sifa wala pesa au kipimo cha akili.

Tuacheni fikra za kitumwa ndugu zangu.
Huna ulijuwalo, Rais kutoka common wealth lazima ujue fluently English, msihamishe magoli.

Huyo Putin anajuwa kingereza Fluently, siyo kile cha deliver your passport and we are dona kantre.
 
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Samia Sulluh Hassan. Anatarajia kuondoka kesho Tanzania kuelekea Ney York Marekani. Baraza kuu la umoja wa mataifa UN, wakubwa wote wa dunia watakaa kimya kumsikiliz@ mama huyu jasiri akihutubia UN kwa mara ya kwanza Tangu 2015 mara ya mwisho kwa raisi kutoka Tz kufanya hivo.
Kila rahel our beloved president.
Nini maoni yako kuhusu ziara hiyo.
View attachment 1942528source: Twitter.
Sitashagaa vasco da gama Jakaya Kiwete atakuwa kwenye msafara huu
 
inchaji,
Teke la punda anayekufa hili......ndo maneno yenu yaliyobaki. Poleni maana yanaunguza moyo hayo si mchezo; ukijastuka 2024 utakuta umegeuka umekuwa mkaa tu.
 
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Samia Sulluh Hassan. Anatarajia kuondoka kesho Tanzania kuelekea Ney York Marekani. Baraza kuu la umoja wa mataifa UN, wakubwa wote wa dunia watakaa kimya kumsikiliz@ mama huyu jasiri akihutubia UN kwa mara ya kwanza Tangu 2015 mara ya mwisho kwa raisi kutoka Tz kufanya hivo.
Kila rahel our beloved president.
Nini maoni yako kuhusu ziara hiyo.
View attachment 1942528source: Twitter.
Nitafurahi akiandaliwa mkutano na waandishi wa habari wa huko, kama Mwendazake alivyoandaliwa kule Uganda!
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kwenda New York Nchini Marekani kesho Septemba 18, 2021 kuhudhuria Mkutano wa 76 Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, akitarajiwa kuhutubia Baraza hilo Septemba 23

Vilevile, atahudhuria Mikutano ya kilele ya kujadili masuala ya mabadiliko ya tabianchi, usalama wa chakula na utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs)

View attachment 1942499
Ataambatana na mzee wa Msoga?
 
Kwanza safari yake ni ya muhimu sana,ila to be honesty Maza atarejesha ustawi wa uchumi kwa mda mfupi Sana..

Hizi ndio safari nataka sio kwenda kwa wenye njaa Malawi Zambia nk,,Saizi Zambia wametaifisha malori yetu,Malawi wamepiga askari wetu.. maskini hana jema
 
Huna ulijuwalo, Rais kutoka common wealth lazima ujue fluently English, msihamishe magoli.

Huyo Putin anajuwa kingereza Fluently, siyo kile cha deliver your passport and we are dona kantre.
Mbona inaonekana wew ni member mwenye zaid ya miaka 11 humu Jamii forum Ila kwenye michango yako humu jukwaani Huna cha Maana unachotoa.....???
 
HUYU MAMA ANAPENDA SANA SAFARI NA SHUGHULI,ANGEKUWA MAMA WA USWAZI SIJUI ANGEKUWA ANAMPIKIA MUMEWE MUDA GANI
Wewe hupendi? Mama kasake pesa ..

Kabla ya mama usingesikia mambo kama haya 👇

Screenshot_20210918-072140.png
 
Back
Top Bottom