Rais Samia kuhudhuria na kuhutubia Baraza Kuu la 76 la Umoja wa Mataifa Jijini New York

Hii ni fursa kubwa sana,serikali inabidi itilie mkazo isiishie ikawa story tu
Waki mlobby huyu atawaleta na wenzie bahati nzuri pa kuanzia papo kwa bibie 😆🤣 👇

Screenshot_20210918-072430.png
 
Wewe ndio mpuuzi,ungeenda rwanda halafu uone wapinzani walivyojaa magerezani na hao marekani awafanyi chochote,simamieni kesi ya msingi kama haki iko upande wenu mshinde kesi sio propaganda eti marekani ina care na kesi ya mbowe
Endelea kukaa gizani
 
Waki mlobby huyu atawaleta na wenzie bahati nzuri pa kuanzia papo kwa bibie 👇

View attachment 1942986
Waziri wa viwanda na uwekezaji wangeanza huyu huko marekani kama na wao watakua kwenye msafara wa mama,japo mazingira yetu ya uwekezaji bado ni finyu sana kwa wamarekani,wapo wamarekani weusi wengi tu hapo TZ ambao kwa vimitaji vyao midogo wanataka kuwekeza lakini kuna watu wanawakwamisha,mbongo akishika nyadhifa anasahau kabisa majukumu yake
 
Mwakasafari ameanza analojua zaidi kuliko kuwaletea wananchi maendeleo, This woman President is a big disgrace to this nation,time is a best teacher, we are just waiting and see her failures in this 4 years, unless she changes,
 
Yaani mkutano tarehe 23 yeye anaondoka kesho tarehe 18? like serious? siku zote zaidi ya 4 atakuwa anafanya nini hapo New York.
Hatukulaumu maana ndio mwisho wa iq yako.usidhani un ni kama chooni unaingia tu mradi hakuna mtu.kuna protocols nyingi zinafuatwa.
 
SIE KAMA WAFANYAKAZI WA SERIKALI TULIKUWA TUMEMISI SANA HIZI TRIP, KWA SASA KILA MTU HASA KUANZIA KURUGENZI LAZIMA SFARAI ZA KUFA MTU ULAYA, TENA BAHATI NZURI CORONA IMEPUNGUA KWANI ILIKUWA INATUWEKEA KAUZIBE.HARAFU MAMA ANAPOSAFIRI NA WALE WANAOBAKI NCHINI TUNAPIGA PESA, SIUNAONA ANAGALAU VIAKO VYETU TUMEVIMHAMISHIA DAR ILI KULA BATA NA KUSURVIVE
 
Hivi mama anakwenda na ndege ipi huko unyamwezini... ni ile airbus au dreamuliner..
 
Back
Top Bottom