Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Jipimieni!

Anajua jinsi wanavyo kula keki ya Taifa. Kula wizarani kwako sio unachungulia kwa mwingine na kuleta majungu.
 
Huyu mama bure kabisa, sijawahi ona kiongozi wa nchi hopeless like her. Yaani hapa bongo kama nchi imelamba garasa!! wakina Kagame na Museveni wanatucheka balaa toka kupoteza kiongozi mwenye vision hadi kuja kuokoteza hili garasa,.tumeliwa.
Hii ina maana kwamba wale ila wasigombane, shida yao wanakula sana Mpaka Wanagombana wakati wameruhusiwa wale Tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mama bure kabisa, sijawahi ona kiongozi wa nchi hopeless like her. Yaani hapa bongo kama nchi imelamba garasa!! wakina Kagame na Museveni wanatucheka balaa toka kupoteza kiongozi mwenye vision hadi kuja kuokoteza hili garasa,.tumeliwa.
Kagame na Museveni wanaweza wakawa wanatucheka kwa vile wao wanaua wakosoaji kama alivyokuwa anafanya Magufuli. Sasa tuna Samia haui wakosoaji
 


Tumepigwa na kitu kizito kichwani
 
Rais akiwahutubia Mwaziri na makatibu wakuu,, amasema anajua kila mtu anakula na atakula kwa urefu wa kamba yake lakini kwa sasa waanzidi hadi awanagombana. Je hii si ndiyo maana ya Rais kuruhusu upigaji ila uwe wa kiistarabu?
Urefu wa kamba ya mbuzi ni madaraka ya kiongozi husika…Majani ni mishahara, perdiems, rushwa nk.
 
Kazi kwao Sasa,washindwe wenyewe tu kutafuna hii keki ya wadanganyika!! kila mh. alizike na mipigo atakayotengeneza kulingana na mahala pake ,wasioneane husdah!!
 

Nimeiangalia hii clip kwa mara ya tatu sasa japo nielewe between the line kinachosemwa kina maana gani…siamini masikio yangu..

Eti mtu anakula kwa urefu wa kamba yake, eti msile sana mkavimbiwa jipimieni daah JPM uko alipo km anaiona hii clip kiroho anapiga ule ukunga wake iihiiiiiiii…km vile aombe arudishwe aje arekebishe kauli kidogo😄

Rest in peace JPM..tunakukumbuka saanaaa

#kataawahuni
 
CCM ni ile ile ooo ni ile ileeee .kauli ya hovyo kutolewa na kiongozi wa nchi tangu uhuru. Huyu bi kidude anajificha kwenye hasira zetu ila ni wa hovyo kuliko hata awamu ya nne . KUmbe huko wanakula nchi huku wanatubambika Ma tozo .unajua siamini kama ndo Huyu wa awamu ya tano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…