Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,056
- 9,962
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kauli yake aliyowahi kuitoa BBC Swahili kuhusu Freeman Mbowe haina athari kwa mahakama na mwendesha mashtaka.
Rais alisema Mbowe alifanya hesabu za kisiasa kwani alijua ana kesi ndiyo alianzisha maandamano ya Katiba Mpya
Akihojiwa na BBC Swahili amesema kauli aliyowahi kuitoa haikuwapa wakati mgumu mahakama na muendesha mashtaka kwa kuwa wao ni chombo huru na chombo pekee
Amesema awamu yake inafuata Utawala wa Sheria, na kesi hiyo haijampa dosari katika utawala wake. Hakuna aliyemuomba radhi mwenzake bali kulikuwa na makubaliano ya kuendesha siasa