Rais Samia afanya maamuzi mazito, atoa Helikopta kuwapeleka mawaziri kutatua miundombinu ya barabara mkoani Lindi

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,262
9,714
Ndugu zangu Watanzania,

Napenda kuwafahamisheni ya kuwa Rais wetu mpendwa na jemedari wetu Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita,nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge hii leo amefanya maamuzi mazito na magumu sanaaa.

kwa kutoa kwa mkono wake mwenyewe na kauli yake mwenyewe Helikopta ya kuwapeleka mawaziri wa ujenzi Mheshimiwa Innocent Bashungwa pamoja na naibu waziri wa TAMISEMI, ili waweze kufika kwa haraka sanaa liwale mkoani Lindi kutatua na kutafuta ufumbuzi wa changamoto ya miundombinu ambayo imeharibika ikiwepo kubomoka kwa madaraja pamoja na kujaa maji kwenye barabara.

Mawaziri hao ambao wametua kijeshi mithiri ya mashujaa na makomandoo waliotumwa na Marekani nchini Pakistani kumnasa Gaidi namba moja Duniani Osama Bin ladeni ,waliambatani na mkuu wa mkoa wa Lindi Mheshimiwa Zainabu,wataalamu kutoka TANROADS pamoja na TARURA.

Mheshimiwa Rais anafanya haya yote kwa lengo la kuhakikisha kuwa kila sehemu katika ardhi ya Tanzania inapitika na kufikika muda wote na wananchi wanasafiri kutoka eneo moja kwenda jingine bila shida ya aina yoyote ile.hii ndio maana ya uongozi na kiongozi jasiri na shupavu.huu ndio maana ya Rais Samia kuitwa komandoo na jemedari wa vita.maana muda wote ni mtu wa maamuzi makini na weledi.

Rais Samia Ni mpango wa Mungu Mwenyewe aliyeinuliwa kwa mkono wa Mungu Mwenyewe kuwatumikia watanzania wanyonge wanaohitaji msaada. Ni kiongozi msikivu na mnyenyekevu sana.ndio maana kwa usikivu wake na kuwajali Watanzania sasa anakwenda kuanzisha utaratibu wa kumsikiliza mtanzania mmoja mmoja mwenye kero binafsi.

Hii maana yake ni kuwa Rais Samia anaijali hata sauti ya mtu mmoja tu,anathamini na yupo tayari kutumia muda wake kumsikiliza mtu mmoja mwenye kero au changamoto ya aina yoyote ile.anataka kila mtu katika Taifa letu ajione ana nafasi ya kusikilizwa mbele ya Rais wake.anataka watanzania wajuwe kuwa kura yako ya ndio kwa Rais Samia na CCM yake inakupa tiketi na fursa ya kuzungumza na mkuu wa nchi bila kikwazo cha aina yoyote ile.

Hii ndio maana ya kauli yangu kuwa Rais Samia Ametufikia Watanzania kwa utumishi wake.maana hakuna mtu au mtanzania atakaye achwa nyuma au kutokusikilizwa kero yake.watanzania wenzangu tuendelee kuwa na imani kubwa sana kwa Rais wetu na mama yetu mpendwa anayetupenda sana Watanzania.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
 
kwa kutoa kwa mkono wake mwenyewe na kauli yake mwenyewe Helikopta ya kuwapeleka mawaziri wa ujenzi Mheshimiwa Innocent Bashungwa pamoja na naibu waziri wa TAMISEMI, ili waweze kufika haraka sanaa liwale mkoani Lindi kutatua na kutafuta ufumbuzi wa changamoto ya miundombinu ambayo imeharibika ikiwepo kubomoka kwa madaraja.

Mawaziri hao ambao wametua kijeshi mithiri ya mashujaa na makomandoo waliotumwa na Marekani nchini Pakistani kumnasa Gaidi namba moja Duniani Osama Bin ladeni ,waliamhatani na mkuu wa mkoa wa Lindi Mheshimiwa Zainabu,wataalamu kutoka TANROADS pamoja na TARURA.

Mheshimiwa Rais anafanya haya yote kwa lengo la kuhakikisha kuwa kila sehi katika ardhi ya Tanzania inapitika muda wote na wananchi wanasafiri kutoka eneo moja kwenda jingine bila shida ya aina yoyote ile.hii ndio maana ya uongozi na kiongozi jasiri na shupavu.hui ndio maana ya Rais Samia kuitwa komandoo na jemedari wa vita.maana muda wote ni mtu wa maamuzi makini na weledi.

Rais Samia Ni mpango wa Mungu Mwenyewe aliyeinuliwa kwa mkono wa Mungu Mwenyewe kuwatumikia watanzania wanyonge wanaohitaji msaada.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

Vipi hakuna aliyebubujikwa na machozi?
 
😂 😂 Yan ww unaweza kumsifia hata mke wako Kwa kukupikia chakula haha

Sasa hayo si ndio majukumu ya Rais? Hapo sasa unachokisifia ni nini?

Wangeendaje kule bila kuwa na helicopter?
Acheni wivu CHADEMA. kiongozi akifanya vizuri tusisite na kuwa wazito kumpa pongezi zake. Tusipende kuwakatisha tamaa viongozi wetu kwa chuki binafsi.
 
Amefanya mazuri na anafanya mazuri mengi

Ila kumsifia Kwa kutoa helicopter ni kumdhihaki

Sometimes uwa nasema ww ni chadema au umpizani ila unaisema serikali kwa stlye yako flan tu

Huwez kusifia Rais wa inchi kutoa helicopter no way,
 
TARURA & TANROAD Lindi hawapo? RC Lindi ameshindwa simamia hiyo kazi?
Kwa akili yako unafikiri hao TANROADS pamoja na TARURA wanaweza kukamilisha kila kitu ikiwepo masuala ya pesa? Hujuwi kufika kwa waziri ni kufika kwa kila rasilimali itakayohitajika eneo hilo katika kutatua changamoto za barabara
 
Ndugu zangu Watanzania,

Napenda kuwafahamisheni ya kuwa Rais wetu mpendwa na jemedari wetu Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita,nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge hii leo amefanya maamuzi mazito na magumu sanaaa.

kwa kutoa kwa mkono wake mwenyewe na kauli yake mwenyewe Helikopta ya kuwapeleka mawaziri wa ujenzi Mheshimiwa Innocent Bashungwa pamoja na naibu waziri wa TAMISEMI, ili waweze kufika kwa haraka sanaa liwale mkoani Lindi kutatua na kutafuta ufumbuzi wa changamoto ya miundombinu ambayo imeharibika ikiwepo kubomoka kwa madaraja pamoja na kujaa maji kwenye barabara.

Mawaziri hao ambao wametua kijeshi mithiri ya mashujaa na makomandoo waliotumwa na Marekani nchini Pakistani kumnasa Gaidi namba moja Duniani Osama Bin ladeni ,waliambatani na mkuu wa mkoa wa Lindi Mheshimiwa Zainabu,wataalamu kutoka TANROADS pamoja na TARURA.

Mheshimiwa Rais anafanya haya yote kwa lengo la kuhakikisha kuwa kila sehemu katika ardhi ya Tanzania inapitika na kufikika muda wote na wananchi wanasafiri kutoka eneo moja kwenda jingine bila shida ya aina yoyote ile.hii ndio maana ya uongozi na kiongozi jasiri na shupavu.huu ndio maana ya Rais Samia kuitwa komandoo na jemedari wa vita.maana muda wote ni mtu wa maamuzi makini na weledi.

Rais Samia Ni mpango wa Mungu Mwenyewe aliyeinuliwa kwa mkono wa Mungu Mwenyewe kuwatumikia watanzania wanyonge wanaohitaji msaada. Ni kiongozi msikivu na mnyenyekevu sana.ndio maana kwa usikivu wake na kuwajali Watanzania sasa anakwenda kuanzisha utaratibu wa kumsikiliza mtanzania mmoja mmoja mwenye kero binafsi.

Hii maana yake ni kuwa Rais Samia anaijali hata sauti ya mtu mmoja tu,anathamini na yupo tayari kutumia muda wake kumsikiliza mtu mmoja mwenye kero au changamoto ya aina yoyote ile.anataka kila mtu katika Taifa letu ajione ana nafasi ya kusikilizwa mbele ya Rais wake.anataka watanzania wajuwe kuwa kura yako ya ndio kwa Rais Samia na CCM yake inakupa tiketi na fursa ya kuzungumza na mkuu wa nchi bila kikwazo cha aina yoyote ile.

Hii ndio maana ya kauli yangu kuwa Rais Samia Ametufikia Watanzania kwa utumishi wake.maana hakuna mtu au mtanzania atakaye achwa nyuma au kutokusikilizwa kero yake.watanzania wenzangu tuendelee kuwa na imani kubwa sana kwa Rais wetu na mama yetu mpendwa anayetupenda sana Watanzania.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Ni uzito upi uliopo wa maamuzi hayo?
 
Kwa helicopter kwenda 😂😂😂
Kwa mawaziri kufika kwa haraka sana huku wakiwa wameagizwa na Mheshimiwa Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan kutatua changamoto za barabara ili wananchi wapate huduma za mawasiliano bila shida kutoka eneo moja kwenda jingine.
 
Bashungwa mbona Yuko kule kitambo Tu!
Kwani maji yamejaa Leo?

Naona hauna taarifa za kutosha za nn kinaendelea

Ww unachojua ni kusifia Tu,

Hata Rais akila mahindi utasifia tu
 
Back
Top Bottom