Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,913
- 133,926
Au kadata?
Jeshi halilindi mtu linalinda Taifa, hata Rais mwenyewe hajui namna anavyolindwa. Ulinzi wa taifa ni dude (web) linalojiendesha lenyewe, kazi yake ni kunusa kila hatari kubwa na ndogo na kuichambua na kuzipatia majawabu. Usalama wa taifa ni watu wenye akili nyingi na vitendea kazi vingi sana, ni chombo ambacho hakipokei maagizo ya wanasiasa ili kulilinda taifa kwakuwa wanasiasa wengi hawana taaluma ya usalama wa nchi. Hivyo, usifikiri kila anaekamatwa ameagizwa na wanasiasa, hapanaaa, kama ingekuwa hivyo nchi hii ingeshaanguka kitambo. Kazi pekee ya wanasiasa ni kutoa fedha za mishahara, posho zao na gharama za mafunzo baaaasi. Kuna wakati hata CDF hajui kama nae anachunguzwa na nani anamchunguza, hata mkuu wa TISS nae hajui nani anaemchunguza nyuma yake. Kuupenya ulinzi wetu sio kazi rahisi, hata makaburu na wareno walishindwa, Idd Amini alishindwa, Kamuzu banda alishindwa, nk. Usione vyaelea vimeundwa; amani hii Tanzania haiko burebure tu.
😂😂😂😂😂MAMA RAIS MKUU WA MAJESHI MWANAE JESHI UVCCM.
Ila huwa inashangaza hii. LolJuzi juzi aliwategemea, kuingia kwake madarakani, jeshi lilisaidia, leo adai wasijihusishe na siasa?!
What a HYPOCRITE...MM
Hapo ndo huwa nachokaJeshi lisijihusishe vipi na siasa wakati wanateuliwa kuwa wakuu wa mikoa na wilaya na kukabidhiwa ilani ya CCM?
papoje hapo
Mwalimu aliiacha rushwa imekula chama chake, hakujua ipo siku hata jeshi lake litafikiwa ...ona sasa wanalamba asali na kuuza nchi pasipo kujali vizazi vya kesho vya masikini wa Taifa hiliHamna kitu hapo, na wametukatisha sana tamaa, jeshi gani wanatambua waibaji wa uchaguzi.Hawajiulizi kwa nini walimuapishia mafichoni???Tuna jeshi butu