Sidhani, Mwaka jana nilinunua Cement 14,000 Saivi 17,000. Tiles nilinunua 18,000 mwaka huu bado imesimama kwenye 24,000. White Cement nilinunua shilingi 23,000 saivi 33,000.
Binafsi ningeomba Serikali ya Mama Samia ingeliona hili, bati Msouth 30G tunanunua shilingi 30,000 kutoka 25,000 ya Mwaka Jana