Wenye chama chao wakinacJWenye chama Chao... walikiazima kwa mazwazwa wa mataga kwa miaka mitano. Mazwazwa yakanogewa yakataka kukimiliki... Mungu akaingilia kati
JK ni nani? Ww ndio mpumbavu mkubwa.JK kadandia tu.Nyie ndio hamjui history na Civics. Wenye chama ni wakina Nyerere,Kawawa,Msekwa.Yaan huna kitu kichwani kabisa.Wajinga kama nyie ndo mnaamini chama kimetoka kwa wachunga ng'ombe
Nyerere angefufuka ukamuuliza angekuambia chama kimetokea wapi...
CCM tokea TANU hakijawahi kuwa cha wachunga ng'ombe...
JK alikosea kujaribu kuwapa nafasi, na hivi sasa anashukuru baada ya kujuta...
Kazi iendelee....