Rais Samia awekeze kwenye utawala wa sheria, katiba mpya na tume huru ya uchaguzi

Afu tunampa mitano tena, atake asitake.

Nchi hatuwapi tena mazwazwa. Tumejifunza kutokana na makosa tuliyofanya 2015 mpaka Mungu alipoamua kuturekebishia makosa yetu
Kwenye lile genge ambalo wale 19 walichomoka, mbona mazwazwa wote mule.
 
kuandikwa kwenye Historia kama itakavyoandikwa kuwa ni Raisi wa kwanza Mwanamke kwa East Afrika Afrika ya kati mpaka kusini huko[color/] na pia Mwenyekiti wa CCM .

Jamaa acha kutulisha tango pori.

Hivi Joyce Banda alipokuwa Rais wa Malawi, hakuwa mwanamke? Je, Malawi haiko kusini mwa jangwa la Sahara?
 
2025 tunaenda na mama Samia 💯💯💯

2030 tuna kijana tumemuandaa... Kijana anaejielewa ambaye hana ushamba kichwani mwake wala ukabila
 
La muhimu ni kwa Raisi Samia kwa hii miaka minne,au mitatu,aipatie Tanzania katiba mpya,asijikweze sana kutaka kugombea hapo 2025,hilo si lake awaachie wenyewe.
Zaidi ajikite kwenye kuwekeza utawala wa sheria,Katiba mpya na tume huru ya Taifa ya Uchaguzi ,mambo matatu hayo yatamuweka kwenye chati milele na kuandikwa kwenye Historia kama itakavyoandikwa kuwa ni Raisi wa kwanza Mwanamke kwa East Afrika Afrika ya kati mpaka kusini huko na pia Mwenyekiti wa CCM .
nchi inahitaji Katiba mpya,Utawala wa sheria na Tume huru ya Uchaguzi.
namsii awachane kabisa na mambo ya kutaka kuendelea kugombea 2025.Asikubali kutomezwa !
Shocker hongera kwa kutumia Uhuru wako kutoa ushauri wa kijinga.

Watanzania wote wenye umri zaidi ya 40, ambao si vichaa na wana elimu ya Chuo Kikuu na hawana historia ya kufungwa kwa makosa ya jinai wako ELIGIBLE kugombea nafasi ya u-Rais wa Tanzania.

Nafasi hiyo haina watu unaowaita wenyewe, na kwa maana hiyo unadhalilisha na nafsi yako wewe mwenyewe kama una sifa nilizotaja hapo juu.

Historia ya Tanzania kwenye nafasi hii imeeonyesha kuwa siku zote unaodhani ndiyo wenyewe kwenye u-Rais wa Tanzania imekuwa inawatokea kinyume.

Hata Ali Hassan Mwinyi hakuwa favorite kumzidi Salim Ahmed Salim mwaka 1985. Naye BWM alikuwa hafahamiki kabisa dhidi ya Horace Kolimba na Malecela. Kikwette hakurajiwa kuibuka kuwazidi kina Kigoda, Sumaye na Mwansosya na Lowassa na Membe walikuwa maaruufu kuliko Magufuli.

Mwishowe naye Magufuli alikuwa anataka awe Rais wa milele kama Kagame na Museveni. Mungu kasema NO
 
Huyu mama alikua kiti cha mbele kwenye mchakato wa katiba mpya. Hivi kwa akili yako ataacha kweli ku revisit ule mchakato??!! Big no hawezi Acha nguvu zake zipotee Kwanza huyu ni Muislam wa wastani flani hua hajikwezi. I don't mean waislam hawajikwezi lkn wale wenye chembe chembe za kuijua dini hua sio wababe sana kama sijui kina Nani if you know what I mean.
so suala la katiba usitie Shaka litakuja tu. At the moment she is putting her efforts in house cleaning, you know how good ladies are at it.
Shauri yako hutaamini.

Ni CCM Yule.
 
La muhimu ni kwa Raisi Samia kwa hii miaka minne,au mitatu,aipatie Tanzania katiba mpya,asijikweze sana kutaka kugombea hapo 2025,hilo si lake awaachie wenyewe.
Zaidi ajikite kwenye kuwekeza utawala wa sheria,Katiba mpya na tume huru ya Taifa ya Uchaguzi ,mambo matatu hayo yatamuweka kwenye chati milele na kuandikwa kwenye Historia kama itakavyoandikwa kuwa ni Raisi wa kwanza Mwanamke kwa East Afrika Afrika ya kati mpaka kusini huko na pia Mwenyekiti wa CCM .
nchi inahitaji Katiba mpya,Utawala wa sheria na Tume huru ya Uchaguzi.
namsii awachane kabisa na mambo ya kutaka kuendelea kugombea 2025.Asikubali kutomezwa !
Hata yeye atakuwa salama dhidi ya maharamia wa chattle
 
La muhimu ni kwa Raisi Samia kwa hii miaka minne,au mitatu,aipatie Tanzania katiba mpya,asijikweze sana kutaka kugombea hapo 2025,hilo si lake awaachie wenyewe.
Kwani kwenye ile hotuba yake ameeleza chochote kuhusu katiba mpya?
 
Wenye chama Chao... walikiazima kwa mazwazwa wa mataga kwa miaka mitano. Mazwazwa yakanogewa yakataka kukimiliki... Mungu akaingilia kati
Wenye chama chao wapi?Mbona chama hicho kilitoka huko huko kanda ya ziwa?Kwa Julius.Inaonekana haujui kabisa mfumo wa chama.Hao wakina Nape,Makamba na hata Kikwete wamekikuta
 
Hivyo si vipau mbele vya wananchi walio wengi,hivyo ni vipaumbele vya wasaka madaraka,eti atakumbukwa! Amekwambia anataka kukumbukwa? Yeye afanye yale watanzania wengi wanataka umeme,maji safi na salama,kupata huduma bora za afya,maslahi ya makundi yote wakulima na wafanyabiashara,wafanyakazi.
Heshima itakuja automatic.
 
Umeme maji safi tokea wakati wa Nyerere hamjayapata mnataka kumpachika mzigo wenu Mzanzibari.
Mpende msipende ,hii ni chansi yake kuweka mustakbali wamataifa haya mawili,Katib,Mustabali wa vyama ,Tume huru,Mustkabla wa wanyonge ,sheria.
 
Atake asitake atalazimishwa na mataga aaaaah chawa wa CCM , Ndugai , Ali Kesi , Juma Nkamia na Deo Sanga Jah People .
 
Wenye chama chao wapi?Mbona chama hicho kilitoka huko huko kanda ya ziwa?Kwa Julius.Inaonekana haujui kabisa mfumo wa chama.Hao wakina Nape,Makamba na hata Kikwete wamekikuta
Wajinga kama nyie ndo mnaamini chama kimetoka kwa wachunga ng'ombe

Nyerere angefufuka ukamuuliza angekuambia chama kimetokea wapi...

CCM tokea TANU hakijawahi kuwa cha wachunga ng'ombe...

JK alikosea kujaribu kuwapa nafasi, na hivi sasa anashukuru baada ya kujuta...

Kazi iendelee....
 
Kwenye lile genge ambalo wale 19 walichomoka, mbona mazwazwa wote mule.
Inategemea ni nani anajua maana ya zwazwa....

Hata wakolomije wanamwona JK ni zwazwa...

Akili za wengine ziko makalioni...

Sio jukumu langu kuwatoa kule uzwazwani....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom