Rais Samia awaapisha Wakuu wa Mikoa. Afanya mabadiliko madogo, Kafulila apelekwa Simiyu, Mongella aletwa Arusha

Sijafurahia reason ya kubadilisha wakuu wa mikoa. Mongela anapelekwa Arusha kwa sababu ni "mzoefu" na majiji na Kafulila ni mpya. This is not a reason for sure kwa sababu yule David, although ni "mpya" ni mbunifu sana kuliko Mongela (kwa mtazamo wangu). Kama kweli hayo ndiyo majukumu ya mkuu wa mkoa as per VP Phillip, wakuu wa mikoa wanaoweza kufanya kazi hiyo popote pale ni Kafulila, Mtaka, and Queen.
Tangu umfahamu Kafulila kabuni nini?
 
Kuna kitu Raisi SAMIA kashtuka ndio maana Kamtoa Kafulila mbio toka Arusha na kampeleka Simiyu
 
Mlioteuliwa kapigeni kazi huku mkijua, nyinyi sio special mno, Ni mkono wa Mungu tu, katendeni haki
 
Sijafurahia reason ya kubadilisha wakuu wa mikoa. Mongela anapelekwa Arusha kwa sababu ni "mzoefu" na majiji na Kafulila ni mpya. This is not a reason for sure kwa sababu yule David, although ni "mpya" ni mbunifu sana kuliko Mongela (kwa mtazamo wangu). Kama kweli hayo ndiyo majukumu ya mkuu wa mkoa as per VP Phillip, wakuu wa mikoa wanaoweza kufanya kazi hiyo popote pale ni Kafulila, Mtaka, and Queen.
Mnashangaza sana, Kafulila anakuwaje mbunifu wakati amekuwa akihangaika kutafuta fursa kwenye vyama vya siasa? Hawa wachumia tumbo kuwaita "wabunifu" ni kutolitendea haki neno "wabunifu"!
 
There is a difference between creativity and innovation. By the way, my bro Abubakar kupelekwa Pwani ni demotion right?You wanna tell us that kuna mikoa ya kujifunzia?Probably, ndiyo maana maendeleo kwenye hiyo mikoa hakuna maana ni ya kujifunzia?Really?Are you guys serious?
 
Hajielewi wapi? mbona povu for petty things? kuteua na kutengua kuhamisha ni mamlaka yake.
Kama anashindwa kufanya kwa ufanisi vitu vidogo hivi, je ataweza kufuatilia kwa umakini mradi wa LNG Lindi wa 30bn USD ( 70 trl Tzs) ambao anataka usainiwe kwa dharura?
 
Amehofia huyo Kafulila angeirudisha Chadema madarakani kwenye uchaguzi mkuu ujao, au!!

Kwa hali hii, Katiba Mpya haikwepeki! Yaani unamteua mtu leo, kesho unamtengua/kumhamisha juu kwa ju, na hakuna wa kukuhoji!!

Only in Tanzania!!

Kwani mwenye mamlaka ya hizo teuzi si ni yeye Raisi Samia!??

Sasa ulitaka kumpangia muda wa kuteua, kuhamisha na kutengua!???

Sometime muwe mnatumia common sense ktk kujudge mambo
 
Back
Top Bottom