Watu watauza sana kiwese .
Hahah meko alikuwa hataki kusikia milio ya majenereta kabisa
2014/2015 umeme umetutesa sana, Magu alivyoingia tu mgao kwisha, kuunganishiwa umeme ikawa husumbuki.
Ile hali naomba isijirudie aisee.
Watu watauza sana kiwese .
Hahah meko alikuwa hataki kusikia milio ya majenereta kabisa
Punguza chuki bas SKM gang , ata maliza muda wake ataondoka Tz itabaki pale paleHajielewi, hata kazi ya kuteua anashindwa, kila kitu anakurupuka tu.
Mwendazake alishawahi kukutatua marinda!Wewe ndiye hujielewi. RC anakuwa RC baada ya kuapishwa. Mwendazake aliwaharibu akili nyie mataga!
Ndio ujue kuwa baadhi ya watz wana roho mbaya sana.2014/2015 umeme umetutesa sana, Magu alivyoingia tu mgao kwisha, kuunganishiwa umeme ikawa husumbuki.
Ile hali naomba isijirudie aisee.
Sio kupaka hina tu inabidi akaanzishe bendi ya taarabu pamoja na khadija kopa.Samia hamna kitu 2025 akajipake hina tu, pamoja na kuchukua muda wote huo bado anafanya makosa tu, sijawahi ona hii kitu kabla.
Queen na Kafulila hawajawahi kuwa wakuu wa mikoa .. hivyo huwezi kusema wanaweza kufanya popote umezingatia nini ? Mtaka ni sawa kwa sababu record yake ipo.. Halafu kusema ubunifu kuwa Kafulila ana ubunifu wapi ameonyesha ubunifu kumzidi Mongela.... Kuna mahaba kwenye post yako kwa Kafulila...Sijafurahia reason ya kubadilisha wakuu wa mikoa. Mongela anapelekwa Arusha kwa sababu ni "mzoefu" na majiji na Kafulila ni mpya. This is not a reason for sure kwa sababu yule David, although ni "mpya" ni mbunifu sana kuliko Mongela (kwa mtazamo wangu). Kama kweli hayo ndiyo majukumu ya mkuu wa mkoa as per VP Phillip, wakuu wa mikoa wanaoweza kufanya kazi hiyo popote pale ni Kafulila, Mtaka, and Queen.
huo ufanisi unaupimaje? unalinginisha uteuzi na kusimamia miradi. two different things.Kama anashindwa kufanya kwa ufanisi vitu vidogo hivi, je ataweza kufuatilia kwa umakini mradi wa LNG Lindi wa 30bn USD ( 70 trl Tzs) ambao anataka usainiwe kwa dharura?
Huko shuleni na vyuoni huwa mnajifunza ujinga? Nionyeshe ubunifu wa Kafulila, acha ujinga!There is a difference between creativity and innovation. By the way, my bro Abubakar kupelekwa Pwani ni demotion right?You wanna tell us that kuna mikoa ya kujifunzia?Probably, ndiyo maana maendeleo kwenye hiyo mikoa hakuna maana ni ya kujifunzia?Really?Are you guys serious?
Tumia akili kiongozi punguza chuki, mama kama alikuwa katuliza akili wakati wakuteua mbona tena kabadilisha uteuzi ina maana huyu mama yenu anakurupuka sana penye ukweli lazima tuseme alafu kamwambieni luku inazingua au anataka 10% ya mafuta na bidhaa za majenereta.Pumbavu! Nenda kateue wewe chato gang member mwandamizi
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Asirudie tena Kukengeuka mapema hii.Raisi afanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa Kafulila apelekwa SImiyu na Mongela apelekwa Arusha
Amefanya mabadiliko leo alipokuwa akiwaapisha wakuu wa mikoa
Ndio ujue kuwa baadhi ya watz wana roho mbaya sana.
Na tatizo ni mfumo mzima
Sijafurahia reason ya kubadilisha wakuu wa mikoa. Mongela anapelekwa Arusha kwa sababu ni "mzoefu" na majiji na Kafulila ni mpya. This is not a reason for sure kwa sababu yule David, although ni "mpya" ni mbunifu sana kuliko Mongela (kwa mtazamo wangu). Kama kweli hayo ndiyo majukumu ya mkuu wa mkoa as per VP Phillip, wakuu wa mikoa wanaoweza kufanya kazi hiyo popote pale ni Kafulila, Mtaka, and Queen.
Ungesoma na hiyo paragraph yangu ya katikati, usingepoteza muda wako kunijibu na kujiona una common sense ya hali ya juu!! Wakati mwingine jitahidi kusoma kuanzia mwanzo mpaka mwisho!Kwani mwenye mamlaka ya hizo teuzi si ni yeye Raisi Samia!??
Sasa ulitaka kumpangia muda wa kuteua, kuhamisha na kutengua!???
Sometime muwe mnatumia common sense ktk kujudge mambo
Mliokuwa mnajipendekeza kwake mnataka kujionyesha kuwa alikuwa akiwashughulikia ili mpate wanaume wengine? Pumbav!Mwendazake alishawahi kukutatua marinda!
Ale wasiokua na connection watafanyaje?Mama yake kapeleka ombi kwa JK,then JK kamuomba SSH. Mambo yakaenda.
Mbona wewe mwenyewe huchangii kwa ufanisi hoja hii? Kwanini uite kukosa ufanisi kufanya mabadiliko kabla ya kuapisha na isiwe hatua hiyo ni kuthibitisha ufanisi?Kama anashindwa kufanya kwa ufanisi vitu vidogo hivi, je ataweza kufuatilia kwa umakini mradi wa LNG Lindi wa 30bn USD ( 70 trl Tzs) ambao anataka usainiwe kwa dharura?
Sijawahi kujipendekeza kwa mtu na wala sijasema mwendazake alikuwa perfect, inaonekana mshikaji aliwashika pabaya kama sio kuwala viboga kabisa.Mliokuwa mnajipendekeza kwake mnataka kujionyesha kuwa alikuwa akiwashughulikia ili mpate wanaume wengine? Pumbav!