Wanabodi amani iwe nanyi.

Jana ulifanyika uteuzi wa mawaziri, manaibu mawaziri, makatibu wakuu na manaibu makatibu katika wizara mbalimbali.

Majina ya mawaziri na manaibu wao yameonekana na kujadiliwa humu kwa kina.

Nimejaribu kutafuta majina ya makatibu wakuu na manaibu wao bado sijafanikiwa.

Aliye na mkeka wao tafdhali auweke hapa.
 
Kazi iendelee
IMG-20220108-WA0092.jpg
IMG-20220108-WA0093.jpg
IMG-20220108-WA0094.jpg


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom