Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 25,000
- 60,069
Ndo kaja.Saa 9 na dakika 40 kasoro ameanza kuongea?
Ndo kaja.Saa 9 na dakika 40 kasoro ameanza kuongea?
Anaanza kuongea sasaNi livivu sana hilo libibi..huenda ndo linaamka sasa hivi
yani kabla hajaongea najua tu anaenda kuharibu tena walahi tumejua kupata mtihani Tanzania🙌🏾mashine ya kuchakata na kuzungumza pumba!
Nimeipenda hiimashine ya kuchakata na kuzungumza pumba!
Labda atakuwa ameshikwa na kitu kisicho onekana kwenye koo kinachomzuia kuongea. Kwa hiyo waganga wake na baadhi ya Masheikh wa Bakwata wanahangaika kuweka mambo sawa. Kumbuka tu zile damu za watu zilizomwagika siyo poa hata kidogo.Ameanza kuongea?
Ndio unaaamkaa?!Samia anatangaza Baraza la mawaziri
Hata akimpaikawa chini ya abdul sawaWizara ya vijana itakua chini ya ofisi ya rais
Uko sahihi, takataka.Hakuna jipya.Anatangaza genge lake la kula pamoja na yeye.