PostGE2025 Rais Samia atangaza Baraza la Mawaziri na Manaibu waziri

PostGE2025 Rais Samia atangaza Baraza la Mawaziri na Manaibu waziri

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mie naona hii ni danganya toto,
Mawaziri walioachwa, sio rahisi kabisaa,
Very soon wanarejeshwa kundini.

Anapima upepo. Lol
 
Anawaogopa wa Tanganyika hata post zake instagram kafunga comment
Na ajue yunamtamani ile kiqumer tena ndani nje ,tutamfikia tu.

Ifike mahali Tanganyika iheshimiwe aisee siyo mtu kutoka mchambawima huko anakuja kuamrisha kuua Wana wema wa Tanganyika aaah! Hell No lazima alipie tena yeye mwenyewe ,wanae tutaomboleza nao.
 
Mmae Mama Raisi mtoto Waziri..
Tunaelekea Kwa kaguta Baba Raisi mama waziri na mtoto mkuu Wa majeshi..
 
Kuna watu hawakutendewa haki hapo. Baba levo hakutakiwa kukosa unaibu waziri wa sanaa (usanii). Dr Musukuma anafaa sana kuwa Waziri wa biashara kwani ana biashara nyingi sana zenye mafanikio.
 
Back
Top Bottom