Rais Samia akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Chamwino - Novemba 17, 2025
Ameanza kuongea?Taarabu tuu hamna lolote!
Ok.Basi itakuwa anamalizia masahihisho kidogo.Maana walisema saa tisa.Hii saa tisa na ushee sasa. Ninaona anakuja.Anaweza kutangaza yeye kama ni baraza kubwa au akampasia CS kama ni mabadiliko ingawa anaweza kuamua chochote apasie au atangaze yeye
Katiba mpya ya kwaoKama ahadi tu za interview zinashindwa kutekelezwa kwa kuzingatia muda wa tangazo.
Vipi hiyo katiba mpya waliyosema watatoa baada ya siku 100?
🤣🤣🤣🤣 Wanamtandao wanasumbuaHata kuzingatia muda nako ni changamoto.
Hao machawa wana maswali ya kuuliza zaidi ya kulamba matako?Kwa hiyo kutakuwa na maswali kutoka kqa waandishi wa habari au kazi yao wao ni kurekodi tu?
Hawataki ajiuzulu 🤣Mbona kama kaingia mitini?
Cha msingi hapa ni wananchi tu kuwa na msimamo.Hapo wanatamani waondoe ukomo kabisa ili aendelee mpaka kifo kitakapomtenganisha na madaraka.
Rais Samia akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Chamwino - Novemba 17, 2025
She will never know peace. Asisahau na yeye huenda kunya kama sisi tu.So na yeye ni Binadamu na kamwe hatapata amani kwa mauaji aliyoyafanya.Cha msingi hapa ni wananchi tu kuwa na msimamo.
Kama wananchi tumekuwa tukiishi kwa hofu huku wao wakiwa salama na kuendelea kuponda raha.
Nadhani huu msimamo wetu wa kuonesha waziwazi kuwa wananchi zaidi ya 90% hatumpendi na tunashinikiza afunguliwe kesi ICC inamfanya naye akose amani.
Na hizi tetesi za kwamba watalii wanakimbia nchi, hii ni ushindi kwetu kwasababu nao wanaanza kuonja machungu.
Hata hii press yake ya leo najua itakuwa na lengo la kutaka kutu calm lakini nje na yeye kujiuzulu hatutakiwi kumuelewa wala kurudisha moyo nyuma.
Apitie machungu akiwa hapo hapo kwenye kiti cha mamlaka yenye kumpa raha yeyote ya kidunia anayoitaka, ila round hii raha atayoohitaji ni kutoka kwa wananchi na ndio silaha yetu kubwa kwenye hili.
Jana niliwaona balile, Islam mbaraka na kibanda wakiwa wanapanda treni kwenda DodomaWangemiweka front Balile
Saa 9 na dakika 40 kasoro ameanza kuongea?Akae akijua mashtaka ya uhalifu dhidi ya binadamu hatayakwepa. Ukiua watu lazima damu ikunukie.
Ni livivu sana hilo libibi..huenda ndo linaamka sasa hiviMbona anajivuta
Mwanzo ilikuwa ikionekana Katiba mpya ndio kiu ya watanzania kuweza kuwatuliza.Katiba mpya ya kwao