T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,287
- 44,738
Hata kuzingatia muda nako ni changamoto.
Wangemiweka front BalileHata kama maswali yangekuwepo tasnia ya habari ilishajifia zamani. Kwasasa kwao kila kitu ni kusifia na kueneza propaganda za CCM.
Kabisa, hata yeye mwenyewe bado ana uchu sana.Ni ngumu,kina Abdul bado wanataka kuendelea kuiba.
Jogoo halitoshi kusherehekea ushindi huoTangaza kujiuzulu nichinje jogoo langu
Utashangaa 2030 anasema ameombwa na wazee wa Dodoma aendelee kuwa Rais hivyo atagombea tena.Kabisa, hata yeye mwenyewe bado ana uchu sana.
Hata hii miaka 5 nahisi anaona haimtoshi.
Anatangaza baraza la uchafuzi huyo wala msitoe utabiri wa bureItakuwa alitaka kujiuzulu,kaahirisha. Maana ilikuwa saa tisa.Sasa saa tisa na ushee
Hivi Rais ndo huwa anatangaza Baraza au katibu kiongozi ? Sikumbuki vizuriAnatangaza baraza la uchafuzi huyo wala msitoe utabiri wa bure
Hapo wanatamani waondoe ukomo kabisa ili aendelee mpaka kifo kitakapomtenganisha na madaraka.Kabisa, hata yeye mwenyewe bado ana uchu sana.
Hata hii miaka 5 nahisi anaona haimtoshi.
Anawaogopa wa Tanganyika hata post zake instagram kafunga commentAnatamani kuanza ila anaogopa majibu ya Tanzania
Anaweza kutangaza yeye kama ni baraza kubwa au akampasia CS kama ni mabadiliko ingawa anaweza kuamua chochote apasie au atangaze yeyeHivi Rais ndo huwa anatangaza Baraza au katibu kiongozi ? Sikumbuki vizuri
Nitajitolea kuleta vinywaji 😹Tangaza kujiuzulu nichinje jogoo langu
Rais Samia akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Chamwino - Novemba 17, 2025