Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,552
- 31,581
Mama si anaupiga mwingi?
Tulia muisome namba.
Tulia muisome namba.
[emoji3]Watarudi na zawadi za magunia ya pilipili.
Ungeiwahi remoteNimenukuu habari katka chombo kimoja Cha habr kikieleza jinsi msafara wa rais ulivyo wasili nchini India na mawaziri tisa achalia mbali wawekezaji na wafanyabiashra walio ambatana nae
Nasiki anakwenda kupewa degree ya heshima
SAS fikiria hizo per diem za hao maafisa wake na mawari wote hao walio kwenda nao huku inatosha kbsaa kujenga kituo kikubwa Cha afya hapa namanjire nkasi
Mbona rais wetu siyo mchumi kbsa anafuja pesa za wananchi wake huku yeye akizurura angani mwezi mzima bila kujali lolote ,jusi week iliyopita alikuepo Doha Kisha kaunga safari juu kwa juu kwenda India kupewa degree ,
I wish I could be a president aiseee Kuna watu wangeteseka sana nchi hii
Yule alibeba manabii na mitume, wauza mayai na wengine wasiokuwa na faida yoyote akawapeleka Marekani.Nimenukuu habari katka chombo kimoja Cha habr kikieleza jinsi msafara wa rais ulivyo wasili nchini India na mawaziri tisa achalia mbali wawekezaji na wafanyabiashra walio ambatana nae
Nasiki anakwenda kupewa degree ya heshima
SAS fikiria hizo per diem za hao maafisa wake na mawari wote hao walio kwenda nao huku inatosha kbsaa kujenga kituo kikubwa Cha afya hapa namanjire nkasi
Mbona rais wetu siyo mchumi kbsa anafuja pesa za wananchi wake huku yeye akizurura angani mwezi mzima bila kujali lolote ,jusi week iliyopita alikuepo Doha Kisha kaunga safari juu kwa juu kwenda India kupewa degree ,
I wish I could be a president aiseee Kuna watu wangeteseka sana nchi hii
Nimenukuu habari katka chombo kimoja Cha habr kikieleza jinsi msafara wa rais ulivyo wasili nchini India na mawaziri tisa achalia mbali wawekezaji na wafanyabiashra walio ambatana nae

Wivu 😂😂😂Hakuna chawa mwerevu my sister
Kata uchawa kwa vitendo
Nyie wenye kukurupuka bila analysis ndio mnafanya tusiendelee
Fanya homework mt sister utatoboa fresh tu
Tena ukikaza namna hii hata mimba utapata
Maskini sawa na Chato?India ni taifa masikini litatusaidia nini!?
Mwenye kujua anisaidie tafadhali
Unaangalia MAMBO kitoto sana...Nimenukuu habari katka chombo kimoja Cha habr kikieleza jinsi msafara wa rais ulivyo wasili nchini India na mawaziri tisa achalia mbali wawekezaji na wafanyabiashra walio ambatana nae
Nasiki anakwenda kupewa degree ya heshima
SAS fikiria hizo per diem za hao maafisa wake na mawari wote hao walio kwenda nao huku inatosha kbsaa kujenga kituo kikubwa Cha afya hapa namanjire nkasi
Mbona rais wetu siyo mchumi kbsa anafuja pesa za wananchi wake huku yeye akizurura angani mwezi mzima bila kujali lolote ,jusi week iliyopita alikuepo Doha Kisha kaunga safari juu kwa juu kwenda India kupewa degree ,
I wish I could be a president aiseee Kuna watu wangeteseka sana nchi hii
Lini mama yako atakuachisha nyonyo?!!! [emoji15][emoji15]Mam aelezwe ukweli anafanya vitu Visio na tija kwa taifa Hili
Hyo degree s angekuja kupewa hapa chamwino
[emoji106][emoji1732][emoji23][emoji2956][emoji2956]Kabla ya kuropoka ungejiuliza Tzn na India nani ana shida?
Bila India mambaazi yenu mngepeleka wapi?
Bila India kuwapa pesa maji kwenye Miji 28 mngepata wapi?
Na mambo mengine mengi
Argumentum ad hominemKapewa meno,, wacha atafune mifupa apendavyo!
Amepewa kama Rais na si km Samia wa Kizimkazi....Sasa hiyo degree yake ya heshima sisi inatusaidia nini.Zaidi ya kutumia pesaza walipa kodi tu kwenda huko India.
Ndio ni lazima mkomae ili "circle" ikamilike....Halafu watumishi huku tunakomaa na vikao kazi kwenye zoom kubana matumizi
Nimenukuu habari katka chombo kimoja Cha habr kikieleza jinsi msafara wa rais ulivyo wasili nchini India na mawaziri tisa achalia mbali wawekezaji na wafanyabiashra walio ambatana nae
Nasiki anakwenda kupewa degree ya heshima
SAS fikiria hizo per diem za hao maafisa wake na mawari wote hao walio kwenda nao huku inatosha kbsaa kujenga kituo kikubwa Cha afya hapa namanjire nkasi
Mbona rais wetu siyo mchumi kbsa anafuja pesa za wananchi wake huku yeye akizurura angani mwezi mzima bila kujali lolote ,jusi week iliyopita alikuepo Doha Kisha kaunga safari juu kwa juu kwenda India kupewa degree ,
I wish I could be a president aiseee Kuna watu wangeteseka sana nchi hii
Sawa kwani Kuna shida?Mikataba ya milele Amen.
Uandishi tu unadhihilisha unavyolelewa na shemeji yako....Hakuna chawa mwerevu my sister