Inadaiwa hasira za Lissu zinatokana na kunyimwa gari na Rais Samia

Tryagain

Member
Nov 23, 2021
73
458
Mwanafalsafa, mchumi na mwanasiasa wa India ya kale, Chanakya aliwahi kusema, “There is some self-interest behind every friendship. There is no friendship without self-interests. This is a bitter truth.” Kwa lugha yetu adhimu ya Kiswahili tunaweza itafsiri kama “Hakuna urafiki bila maslahi binafsi. Huo ndio ukweli mchungu.” Hii inaendana na msemo maarufu usemao. “There are no permanent enemies nor permanent friends, just permanent interests.” au “Hakuna marafiki wa kudumu wala maadui wa kudumu. Kuna maslahi ya kudumu tu.”

Nimeanza makala hii na misamiati hiyo kwa nini? Ni kwa sababu lengo la makala hii ni kufichua unafiki ambao viongozi wa juu wa CHADEMA wamekuwa wakiufanya. Unafiki huu huwafanya waseme na kutenda kwa njia moja wanapopata wanachokitaka kutoka kwa serikali, lakini kinyume chake wanapotambua mahitaji yao hayajatimizwa.

Mchezo huu hawajauanza leo. Utaratibu huu umekuwa sehemu ya taswira yao ya kisiasa tangu chama chao kikawe chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi wa mwaka 2010. Nadhani sote tumeshuhudia jinsi, wakati wa muhula wa pili wa awamu ya nne, viongozi wa CHADEMA walivyokuwa wakipiga kelele na kuitisha maandamano, kisha ghafla wakialikwa Ikulu na Rais Jakaya Kikwete, na kunyamaza kimya.

Sote tunakumbuka jinsi viongozi mbalimbali wa CHADEMA walivyokuwa wana tweza utu wa Rais Jakaya Kikwete kwa namna ile ile ambavyo sasa wanatweza utu wa Rais Samia Suluhu Hassan. Ridhiwani Kikwete alishawahi kunukuliwa akimuulize baba ake ni kwanini hachukulii hatua wanaomtunaka [CHADEMA]. Baba ake akamjibu tu kuwa kama rais ana nguvu nyingi na kama akiamua kutumia mamlaka yake basi atawaumiza zaidi ya matusi yao yanavyo muumiza.

Walijaribu aina hii hii ya siasa na hayati John Pombe Magufuli. Kwa bahati mbaya au nzuri wakakutana na mtu ambae hakuwa tayari kupoteza muda na kucheza mziki wao. Walitamani kutumia njia zile zile za maandamano na mikutano ya kisiasa kumtukana rais na kuzua taharuki ili waitwe Ikulu “wayajenge”. Matokeo yake ni Rais Magufuli akapiga marufuku maandamano na mikutano ya hadhara na akazima Bunge lisirushe vipindi vyake mubashara. CHADEMA wakakosa namna ya kupata wanacho kitafuta.

Rais Samia Suluhu Hassan alipo ingia madarakani mwaka 2021 akaamua afungue ukurasa mpya. Labda ilikua ni huruma yake kama mama na mwanamke. Labda ilikua ni ugeni wake kwenye nafasi ya urais. Ila aliamini kabisa CHADEMA walikua na nia ya dhati ya kushiriki katika siasa safi na kujenga taifa. Mama akawapa upendeleo maalum CHADEMA. Alifuta kesi zao wanachama wa CHADEMA karibia zote. Usiku wa tarehe 7 Machi, 2022, alipotoka gerezani Freeman Mbowe alialikwa kwa mazungumzo na Rais Samia.

Wote tulimsikia Makamu Mwenyekiti wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana, mwanzoni mwa mwezi huu, alipo dhihirisha kwa umma kuwa maridhiano kati ya Serikali na CHADEMA yalikufa baada ya chama hicho cha upinzani kususia mchakato huo kwa kutaka swala liwe kati ya CCM na CHADEMA pekee. Huu ndio ubinafsi ninao zungumzia wa viongozi waandamizi wa CHADEMA.

Sasa tuje kwa Tundu Lissu. Watu wengi wanajiuliza inakuaje leo Tundu Lissu anaanza kumshambuliwa Rais Samia kwa namna inayo ashiria kumvunjia heshima kama mwanamke na kama rais wa nchi? Ukweli ni kwamba kuna mambo yake kadhaa wa kadhaa ambayo amekua aki yataka kutoka kwa rais ambayo rais kakataa kumtimizia. Zipo taarifa za kwamba Tundu Lissu aliomba Nissan Patrol kwa ajili ya matumizi yake binafsi. Lissu ambae kwa sasa hana kazi yoyote zaidi ya nafasi yake ndani ya CHADEMA amekua akiomba fedha mara kadhaa kutoka kwa rais kwa ajili ya mambo yake binafsi.

Hivyo nongwa ya Tundu Lissu kwa Rais Samia ni kutokana na kitendo cha kukataliwa maombi yake ya kupewa gari na fedha kwa ajili ya matumizi yake binafsi. Haya mengine anayo tamka hadharani kwenye mikutano na kwenye vyombo vya habari ni gelesha tu. Lengo lake ni kupiga kelele ili atimiziwe mahitaji yake.

Inakumbukwa vema, tarehe 16 Februari, 2022, Tundu Lissu alifanya mkutano na Rais Samia wakati ambapo Rais alikuwa safarini kikazi nchini Ubelgiji. Katika mkutano huo, Lissu alileta mbele madai mawili, huku jambo kuu likiwa kuhusu maslahi yake binafsi na uwezekano wa kurudi nchini akihakikishiwa usalama wake. Hata hivyo, kuhusu hilo la kuhakikishiwa usalama, ni dhahiri ni udanganyifu, kwani mwaka 2020 wakati wa uchaguzi mkuu chini ya uongozi wa Rais Magufuli, Lissu aligombea urais na akaendesha kampeni kote nchini akiwa chini ya ulinzi wa maafisa wa TISS, lakini hakuna jambo lolote baya lililomkuta. Madai yake makubwa yalikuwa yanahusu maslahi yake ya kibunge.

Mara baada ya kutimiziwa hayo, Tundu Lissu alitua airport ya JNIA tarehe 24 Januari, 2023. Alipotua tu nchini Lissu alitamka yafuatayo, "Rais Samia Suluhu Hassan kupitia serikali na chama chake wameonyesha utayari wa kuanzisha upya safari. Tunahitaji kuonyesha ya kwamba hata sisi tuko tayari kwa hili." Mtu huyo huyo aliesema chama chake kionyeshe utayari alikuja kukosoa mchakato wa maridhiano yaliokua yanasimamiwa na mwenyekiti wa chama chake Freeman Mbowe.

Hivyo basi Watanzania waelewe. Kelele zote anazo piga sasa hivi Tundu Lissu ni kwa sababu kuna madai yake na maombi yake ambayo rais amegoma kumtimizia kwa sababu ni kinyume na sheria na taratibu za nchi. Kosa pekee la Rais ni kusimamia uadilifu wa nafasi yake na serikali anayo iongoza. Na uzuri kwa sasa CHADEMA wameanza kutajana wenyewe kwa wenyewe na kushutumiana kupokea rushwa wenyewe kwa wenyewe. Yapo mengi tutazidi kuyasikia na mwisho wa siku ukweli wa mambo utadhihirika.

====

Pia soma:
-
Lissu ajibu tuhuma za kunyimwa gari pamoja na fedha na Rais Ramia, asema hajawahi kuomba 'favor' yoyote kutoka kwake
- Tundu Lissu atahadharisha uchaguzi ndani ya chama kuingiliwa na fedha za Rais Samia na mwanae Abdul
 
Makosa mliyoyafanya kwa Dk Slaa mnataka kuyarudia kwa Lissu?

Slaa mlipakazia amesusa kisa kiti cha ugombea urais, mara mkewake alimfungia akampiga na propaganda kibao!

Naona hamjajifunza licha ya chama kupoteza ushawishi, sasa endeleeni kwa Lissu.
 
Lissu ni muongo mkuu wa taifa,anapaswa kupuuzwa
 
Kwa hiyo wa Tz wasio mpigia kura Raisi au kupinga Sera zake itakuwa sababu wamenyimwa Gari au magari Kwa akili zako
 
Kwani nyinyi Wazenji hamjuagi kuandika vizuri!!!? Hoja hapa hatutaki muuze Tanganyika yetu
 
Hii ni takataka pia
 
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
Maelezo mengi ila pumba tupu, uongo, propaganda.

Ukute huyu naye ana mumewe au mkewe na watoto juu, duh
 
CCM kumbe tuna mijitu imeoza ubongo acha upimbi Lissu ni habari ya Dunia acha kujamba. Bibi ni Bibi tu mwakani ni muda wa kwenda kulea wajukuu miaka 65 January 2025 ni umri mkubwa sana aende akapumzike haitajiki
 
Back
Top Bottom