dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,754
- 18,776
- Thread starter
- #141
Ngosha wenu hakufanya haya Mambo hajawai kwenda nnje na pesa alikuwa anapewaTulisharudi enzi za Kikwete.
Ngosha wenu hakufanya haya Mambo hajawai kwenda nnje na pesa alikuwa anapewaTulisharudi enzi za Kikwete.
Rais wa hovyo kuwahi kutokea.Nimenukuu habari katika chombo kimoja Cha habari kikieleza jinsi msafara wa rais ulivyowasili nchini India na Mawaziri tisa achalia mbali wawekezaji na wafanyabiashra walioambatana nae
Nasikia anakwenda kupewa degree ya heshima
Sasa fikiria hizo per diem za hao maafisa wake na mawaziri wote hao waliokwenda nao huku inatosha kabisa kujenga kituo kikubwa Cha afya hapa Namanjire Nkasi
Mbona rais wetu siyo mchumi kabisa anafuja pesa za wananchi wake huku yeye akizurura angani mwezi mzima bila kujali lolote, week iliyopita alikuepo Doha kisha kaunga safari juu kwa juu kwenda India kupewa degree
I wish I could be a president aiseee kuna watu wangeteseka sana nchi hii
Rais wa hovyo kuwahi kutokea.
Uzuri ni kwamba hata muongee utumbo haizuii Uchumi wa Tanzania kukua Kwa sababu za sera nzuri za uwekezaji za Rais Samia.Ameenda na machawa kibao.....wanafuja hela za walipa kodi
Wewe ni kiasi ,Balozi hawezi saiini itifaki ya kiutendajiMabalozi wana jukumu gani?
Yaani,uzalendo ulimponza.Ngosha wenu hakufanya haya Mambo hajawai kwenda nnje na pesa alikuwa anapewa
Chapati za India ni kubwa sio kama za uku😅Mban India wenyewe Wana tabu San watu wanashinda chapati mbili siku nzima
Majukumu yao ya kibalozi.Mfano wamefanya nn
tunaposema ccm ni majizi muwe mnatuelewa, hakuna kiongozi wa ccm mwenye uchungu na wananchiNimenukuu habari katika chombo kimoja Cha habari kikieleza jinsi msafara wa rais ulivyowasili nchini India na Mawaziri tisa achalia mbali wawekezaji na wafanyabiashra walioambatana nae
Nasikia anakwenda kupewa degree ya heshima
Sasa fikiria hizo per diem za hao maafisa wake na mawaziri wote hao waliokwenda nao huku inatosha kabisa kujenga kituo kikubwa Cha afya hapa Namanjire Nkasi
Mbona rais wetu siyo mchumi kabisa anafuja pesa za wananchi wake huku yeye akizurura angani mwezi mzima bila kujali lolote, week iliyopita alikuepo Doha kisha kaunga safari juu kwa juu kwenda India kupewa degree
I wish I could be a president aiseee kuna watu wangeteseka sana nchi hii
Ilisemwa kula urefu wa kamba ndio hukoNimenukuu habari katika chombo kimoja Cha habari kikieleza jinsi msafara wa rais ulivyowasili nchini India na Mawaziri tisa achalia mbali wawekezaji na wafanyabiashra walioambatana nae
Nasikia anakwenda kupewa degree ya heshima
Sasa fikiria hizo per diem za hao maafisa wake na mawaziri wote hao waliokwenda nao huku inatosha kabisa kujenga kituo kikubwa Cha afya hapa Namanjire Nkasi
Mbona rais wetu siyo mchumi kabisa anafuja pesa za wananchi wake huku yeye akizurura angani mwezi mzima bila kujali lolote, week iliyopita alikuepo Doha kisha kaunga safari juu kwa juu kwenda India kupewa degree
I wish I could be a president aiseee kuna watu wangeteseka sana nchi hii
Namuonea huruma mumeo aisee Kwa akili hizi,Kwa hiyo ukiwa raisi ndio unakuwa na akili kuliko raia wote?Tumuacheni rais aongoze nchi.
Ulitak aende n nani n nani?
Mna akili kumzidi mbona ninyi msiwe rais wa Tanzania?
Haya 2025 ongieni mgombee mmtoe basi si kupiga kelele tu hapa.
Chukueni hatua sio Kila saa kumkashifu mtu aliyepewa dhamana ya kuongoza nchi.
Chukueni hatua si kulalama.
Acha kuandika ujingaKabla ya kuropoka ungejiuliza Tzn na India nani ana shida?
Bila India mambaazi yenu mngepeleka wapi?
Bila India kuwapa pesa maji kwenye Miji 28 mngepata wapi?
Na mambo mengine mengi
Ukiacha ujinga uliojibu,Cha maana kwako ni kipi?Acha kuandika ujinga
Kwa hiyo, kwako wewe u omba omba na uzurulaji ni sifa ya kuongelea kwa nchi zenye rasilimali chekwa kama ya kwetu?Kabla ya kuropoka ungejiuliza Tzn na India nani ana shida?
Bila India mambaazi yenu mngepeleka wapi?
Bila India kuwapa pesa maji kwenye Miji 28 mngepata wapi?
Na mambo mengine mengi