dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,754
- 18,776
- Thread starter
- #41
Sahihi kbsaa hvyo videgree vinamsadia nn wkt Hakuna alicho sotea ktk maisha yake ya elimuChamwino pia gharama,angepewa online tu.
Sahihi kbsaa hvyo videgree vinamsadia nn wkt Hakuna alicho sotea ktk maisha yake ya elimuChamwino pia gharama,angepewa online tu.
Sasa siku nne watajifunza nn wkt mle ndani wanawaza wakifika bongo wamalizie nyumba zao na apartment walizo zijenga huku ilazoTatizo wakirudi wanarudi watupu bila ujuzi na maarifa waliyoyaona huko kwa maendeleo ya wizara zao. .
Naunga mkono hoja 👍👏Mam aelezwe ukweli anafanya vitu Visio na tija kwa taifa Hili
Hyo degree s angekuja kupewa hapa chamwino
Kuna mikataba 15 ya ushirikiano ambayo Mawaziri wa kisekta watatia Saini.Hiyo inahusiana nini na misafara mikubwa ya viongozi wenu kutoka kwenye nchi yenu kapuku mtozeni ?
Kwani kuwa kiasi yet majibu Kwa hoja inakusaidia nini wewe na kunipa hasara gani Mimi?😂 kiazi
Sawa kwani Kuna shida gani kama.bandarinimeuzwa? Mpumbavu anapewa majibu ya kipumbavuAta alipokwenda Dubai alisaini mikataba pia na mojawapo ndio huu wa kuiuza bandari.
Hizo hazitokani na ushirikiano wa kiserikali Bali biashara tuuNa bajaj pia tungepata wp na pkpk boxer
HV unamfananisha Kamal na Samia una akili KweliKuna mikataba 15 ya ushirikiano ambayo Mawaziri wa kisekta watatia Saini.
Kabla ya kuropoka muwe mnajifunza na pia sio mara ya kwanza Wala sio ajabu Kwa viongozi kuja na misafara mikubwa kwenye ziara za kiserikali.
Unajua Kamala alikuja na wajumbe wangapi?
Sasa kama hamna lolote na Uchumi unakua miradi inasonga Kuna tatizo gani wewe ukiongea hivyo? Si unapuuzwa tuu na ujinga wakoHamna lolote !
Kuiba na kutafuna per diem si hvyo ndio Kaz zakeMambo ya serikali ndivyo yalivyo...
HV mnaongea hbr gani humu Mambo ya Bajaj wapi na wapi na .misafraNa bajaj pia tungepata wp na pkpk boxer
Na wewe kaibeKuiba na kutafuna per diem si hvyo ndio Kaz zake
Haya Mkuu mwenye nacho huongezewaNimenukuu habari katka chombo kimoja Cha habr kikieleza jinsi msafara wa rais ulivyo wasili nchini India na mawaziri tisa achalia mbali wawekezaji na wafanyabiashra walio ambatana nae
Nasiki anakwenda kupewa degree ya heshima
SAS fikiria hizo per diem za hao maafisa wake na mawari wote hao walio kwenda nao huku inatosha kbsaa kujenga kituo kikubwa Cha afya hapa namanjire nkasi
Mbona rais wetu siyo mchumi kbsa anafuja pesa za wananchi wake huku yeye akizurura angani mwezi mzima bila kujali lolote ,jusi week iliyopita alikuepo Doha Kisha kaunga safari juu kwa juu kwenda India kupewa degree ,
I wish I could be a president aiseee Kuna watu wangeteseka sana nchi hii
No acha umbe mkuu kwa kifupi Sana Bibi ako anapuyanga tu hajui ashike lipi na amalize lipi kazi kubwa anaweza kupanga na kupangua wakuu na watendajiUnasumbuka? Kwanza state visit mana yake gharama zote za kule zinakuwa juu ya serikal ya kule.wao ndio wamewaalika.pili wizara zot ulizoziona kule ni muhim kuwepo
Kuna maji pale.afya.fedha nimeona. Unajua kuw wakat wa magu narendra mid alipig simu kwenye mkutano wa dawasa akasalimia na kutoa pale pale dol mil 500. Unajua kuw india wana jenga mrad mkubwa sana wa maji hana nchini.? Yan mpaka nimechoka kukueleza.
Unateseka na perdiem mzee?
Kwa kutojua athari za mkataba wa uuzwaji wa bandari ndio upumbavu wenyewe sasa.Sawa kwani Kuna shida gani kama.bandarinimeuzwa? Mpumbavu anapewa majibu ya kipumbavu