ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,921
- 89,132
Itoshe kusema wewe ni mpumbavuKwa hiyo, kwako wewe u omba omba na uzurulaji ni sifa ya kuongelea kwa nchi zenye rasilimali chekwa kama ya kwetu?
Itoshe kusema wewe ni mpumbavuKwa hiyo, kwako wewe u omba omba na uzurulaji ni sifa ya kuongelea kwa nchi zenye rasilimali chekwa kama ya kwetu?
Mam aelezwe ukweli anafanya vitu Visio na tija kwa taifa Hili
Hyo degree s angekuja kupewa hapa chamwino
K la mamako mbwa weweItoshe kusema wewe ni mpumbavu
Haiondoi ukweli kwamba wewe huna akili na hivyo ni mpumbavuK la mamako mbwa wewe
Unafikiri kila mtu ni wa kuzoea na kutukana tu kadri unavyojisikia mitandaoni humu siyo?Haiondoi ukweli kwamba wewe huna akili na hivyo ni mpumbavu View attachment 2779898
Mlimtukana sana jiwe. Endeleeni kupata Kichapo kikaliHii nchi kwa sasa inajiendea tu yenyewe kama gari bovu lenye abiria ndani, huku likiwa halina dereva.
Mwenyezi Mungu anatakiwa atunusuru dhidi ya haya majaribu tunayopitia. Maana it is too much.
Kuna jamaa wa JF zamani akijiita Bongolala sijui yuko wapi siku hizi? Hatuna Rais wandugu!Nimenukuu habari katika chombo kimoja Cha habari kikieleza jinsi msafara wa rais ulivyowasili nchini India na Mawaziri tisa achalia mbali wawekezaji na wafanyabiashra walioambatana nae
Nasikia anakwenda kupewa degree ya heshima
Sasa fikiria hizo per diem za hao maafisa wake na mawaziri wote hao waliokwenda nao huku inatosha kabisa kujenga kituo kikubwa Cha afya hapa Namanjire Nkasi
Mbona rais wetu siyo mchumi kabisa anafuja pesa za wananchi wake huku yeye akizurura angani mwezi mzima bila kujali lolote, week iliyopita alikuepo Doha kisha kaunga safari juu kwa juu kwenda India kupewa degree
I wish I could be a president aiseee kuna watu wangeteseka sana nchi hii
Ila ww sitakaa nikusahau kwenye mchakato wa kifo cha jiwe!!Tulisharudi enzi za Kikwete.
Kichapo gani?Mlimtukana sana jiwe. Endeleeni kupata Kichapo kikali
Andamaneni ndio mtajua mnae au hayupoKuna jamaa wa JF zamani akijiita Bongolala sijui yuko wapi siku hizi? Hatuna Rais wandugu!
🗑️🗑️🗑️🗑️Unafikiri kila mtu ni wa kuzoea na kutukana tu kadri unavyojisikia mitandaoni humu siyo?
Yalishapita hayo.Wahuni walimueliminate jiwe.Ila ww sitakaa nikusahau kwenye mchakato wa kifo cha jiwe!!
ulikuwa vocal " eti kamezinduka leo usiku" mwe.....