Rais Samia amekwenda India na Mawaziri 9

Nimenukuu habari katka chombo kimoja Cha habr kikieleza jinsi msafara wa rais ulivyo wasili nchini India na mawaziri tisa achalia mbali wawekezaji na wafanyabiashra walio ambatana nae

Nasiki anakwenda kupewa degree ya heshima

SAS fikiria hizo per diem za hao maafisa wake na mawari wote hao walio kwenda nao huku inatosha kbsaa kujenga kituo kikubwa Cha afya hapa namanjire nkasi

Mbona rais wetu siyo mchumi kbsa anafuja pesa za wananchi wake huku yeye akizurura angani mwezi mzima bila kujali lolote ,jusi week iliyopita alikuepo Doha Kisha kaunga safari juu kwa juu kwenda India kupewa degree ,

I wish I could be a president aiseee Kuna watu wangeteseka sana nchi hii
hivi we unajua hasa alichoenda kufanya?
 
Rais hafuati digrii ya heshima, amekwenda kwa mambo makubwa na Mengine kwenye sekta zaidi ya sita

Kama kwa upeo wako umeona degree ya heshima tu Basi una maafa makubwa ya uelewa
Kipi kingine kimempelkea pale ungevitaja ningekuona wa maaana mno
 
Nimenukuu habari katka chombo kimoja Cha habr kikieleza jinsi msafara wa rais ulivyo wasili nchini India na mawaziri tisa achalia mbali wawekezaji na wafanyabiashra walio ambatana nae

Nasiki anakwenda kupewa degree ya heshima

SAS fikiria hizo per diem za hao maafisa wake na mawari wote hao walio kwenda nao huku inatosha kbsaa kujenga kituo kikubwa Cha afya hapa namanjire nkasi

Mbona rais wetu siyo mchumi kbsa anafuja pesa za wananchi wake huku yeye akizurura angani mwezi mzima bila kujali lolote ,jusi week iliyopita alikuepo Doha Kisha kaunga safari juu kwa juu kwenda India kupewa degree ,

I wish I could be a president aiseee Kuna watu wangeteseka sana nchi hii
Kabla ya Samia hakukuwa na soko la Parachichi za Tanzania India ,nawakumbusha tuu

View: https://twitter.com/RashdaZunde/status/1710930988321153184?t=ZQH789kvbiFyhlxb7Cp0vg&s=19
 
Mam aelezwe ukweli anafanya vitu Visio na tija kwa taifa Hili

Hyo degree s angekuja kupewa hapa chamwino
Aelezwe ukweli na nani sasa mkuu🤣🤣 waliomzunguka ndo wanaokula mema ya nchi halafu unataka tena watie kitumbua mchanga
 
Cheo ni dhamana mkuu, hata ungelitadhwa wewe huenda ungelisafiri safari nyingi kuliko hizi unazoziona tumpe mda.
 
Nimenukuu habari katka chombo kimoja Cha habr kikieleza jinsi msafara wa rais ulivyo wasili nchini India na mawaziri tisa achalia mbali wawekezaji na wafanyabiashra walio ambatana nae

Nasiki anakwenda kupewa degree ya heshima

SAS fikiria hizo per diem za hao maafisa wake na mawari wote hao walio kwenda nao huku inatosha kbsaa kujenga kituo kikubwa Cha afya hapa namanjire nkasi

Mbona rais wetu siyo mchumi kbsa anafuja pesa za wananchi wake huku yeye akizurura angani mwezi mzima bila kujali lolote ,jusi week iliyopita alikuepo Doha Kisha kaunga safari juu kwa juu kwenda India kupewa degree ,

I wish I could be a president aiseee Kuna watu wangeteseka sana nchi hii
Ukiona rais anasafiri na mawaziri wengi hivyo, fahamu kwamba kila sekta kulingana na wizara hizo zinaenda kupata incentives.

Wawekezaji waje lakini tusijisahau tukajiweka chini yao.

Tumpe nafasi na muda lakini naye asituue tunaomkosoa maana tukikaa kimya ni kumchukia
 
kimsingi mambo ni mengi ila muda mchache , hivi inaingiaje akilini uititiri wa watu kwenda kula nchi na ndege ya serikali huku wananchi wakijazana kwenye mwendokasi kama nyanya maana hata kumudu bei ya mafuta kwenye magari yao hawawezi tena, India kuna Ubalozi kuna wafanyakazi wa ubalozi n.k lakini kwasababu ni maokoto lazima wachukuane woooote wakajazane kula na kula hela.
 
Nimenukuu habari katka chombo kimoja Cha habr kikieleza jinsi msafara wa rais ulivyo wasili nchini India na mawaziri tisa achalia mbali wawekezaji na wafanyabiashra walio ambatana nae

Nasiki anakwenda kupewa degree ya heshima

SAS fikiria hizo per diem za hao maafisa wake na mawari wote hao walio kwenda nao huku inatosha kbsaa kujenga kituo kikubwa Cha afya hapa namanjire nkasi

Mbona rais wetu siyo mchumi kbsa anafuja pesa za wananchi wake huku yeye akizurura angani mwezi mzima bila kujali lolote ,jusi week iliyopita alikuepo Doha Kisha kaunga safari juu kwa juu kwenda India kupewa degree ,

I wish I could be a president aiseee Kuna watu wangeteseka sana nchi hii
keep wishing
TYou wont be a president though
Mwendazake hakusafiri maneno yalikua kibao na kejeli za kumwaga mama kasafiri na mawaziri pia mnakejeli yaani wewe umefikiri hao mawaziri alioambatana nao wameenda kupiga makofi mama kupewa degree ya heshima kweli??
Acha mama atutafutie fursa sisi wakulima wewe endelea kupinga hapa na bila kuwa na taarifa sahihi
 
fursa kusafirii? Kizuri kinajiuza! mazao bora na mengiii hayakosi soko nyie mazao ubora hamna mkiambiwa mna weza tupa tani laki tano mnahanya na kilimo chenu cha jembe la mkono. Kuna mambo ya msingi ya kuboresha kabla hujahangaika na masoko
 
keep wishing
TYou wont be a president though
Mwendazake hakusafiri maneno yalikua kibao na kejeli za kumwaga mama kasafiri na mawaziri pia mnakejeli yaani wewe umefikiri hao mawaziri alioambatana nao wameenda kupiga makofi mama kupewa degree ya heshima kweli??
Acha mama atutafutie fursa sisi wakulima wewe endelea kupinga hapa na bila kuwa na taarifa sahihi
Nchi inatafunwa wewe unaimba mapambio
 
Back
Top Bottom