Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 51,950
- 117,719
Wanabodi
Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa ambazo huwa na maswali yakifuatiwa na hoja halafu jibu utatoa wewe mwenyewe. Swali la leo ni kuhusu hizi panga pangua au pangua pangua za Rais Samia kwa wateule wake kila uchao, je zote zina maslahi kwa Taifa au kuna pangua pangua nyingine ni Flip-flops hazina maslahi kwa taifa?.
Naomba kuanza na Angalizo.
Kwa mujibu wa katiba yetu presidential appointment powers ni fully discretionary powers of the appointing authority at his/her pleasure na teuzi hizi hazihojiwi na yeyote, hivyo naomba hili bandiko lisihesabiwe kuwa ni kuhoji mamlaka ya rais katika uteuzi.
Hili ni bandiko la kuangazia kama hizi panga pangua za Rais Samia za kuteua, kutengua, kutumbua na kuhamisha kila uchao, je zote zina maslahi kwa taifa?, na jinsi zilivyo nyingi, na kufanyika kwa muda mfupi mfupi, inawezekana kukawa na watendaji wazuri wanatumbuliwa au kuhamishwa na kuletwa watendaji wa viwango vya chini?.
Naamini hakuna ubaya wowote kumpongeza Rais Samia kwa uteuzi wa watendaji wazuri, majembe kazi, na pia sio vibaya kuwaangazia baadhi ya wateule ambao performance zao ni sub standard, hivyo mabandiko tunduizi kama haya yakajikuta yanamsaidia Rais Samia kama performance appraisal ya awali kwa baadhi ya wateule wake, wale wazuri wawe rewarded kwa uzuri wao na wale wabovu wawe treated accordingly.
Na kufuatia uelewa mdogo wa Katiba yetu kwa walio wengi, wanadhani Rais wa JMT atashauriwa na wale wasaidizi wake na washauri wake rasmi pekee!. No!, akina sisi pia tunashauri shauri Could there be a problem with our vetting systems? These hirings and firings hazitaonekana kama signs za incompetence on part of appointing authority?
Kwa mujibu wa katiba Rais wa JMT ni mtumishi wetu sisi wananchi ndio waajiri wake. Sisi wananchi ndio wenye nchi na ndio wenye katiba, Rais wa JMT ni mtumishi wetu sisi tumemuajiri kwa kura zetu, na tunamlipa mshahara wake (tena tax free) kwa kodi zetu as privileges wakati tukisisitiza kila mtu alipe kodi. Hili niliwahi kulishauri Kuepuka Double Standards ya Kodi, Nashauri Rais Uongezwe Mshahara, Ili Alipe Kodi, Wote Tulipe Kodi! hivyo sisi wananchi wa kawaida kabisa wa Tanzania, tunaweza kumshauri Rais wetu jambo lolote, ila hatuwezi kumlazimisha kupokea ushauri wetu kwasababu kwa mujibu wa Katiba yetu, Rais wa JMT ni an executive president, anaruhusiwa kushauriwa tuu na yeyote lakini kwenye kufikia maamuzi, Rais atafikia maamuzi yeye kama yeye na hapaswi kufuata ushauri wa yeyote!.
Sasa kwa vile Rais wetu anafikia maamuzi ya mwisho yeye kama yeye, na yeye pia ni binadamu na sio malaika, kibinaadamu anaweza kukosea, hivyo pale ambapo tunapaona hapajakaa vizuri, sio vibaya kupaangazia na kutoa ushauri, na hakuna ubaya Rais wetu akisikiliza ushauri wa wananchi wa kawaida tukiwemo sisi wana jf kwasababu tayari Rais Samia ameisha onyesha kuwa yeye ni Rais msikivu Mnyonge Mnyongeni Haki yake Mpeni, Rais Samia ni Msikivu, Apewe Maua Yake! Vipi Serikali Yake, Bunge na Mahakama, Ni Wasikivu? Kama Sio Inamanisha... na
kuna uwezekano hao washauri wake rasmi baadhi yao wanamuogopa, Wasaidizi wa Magufuli walimuogopa hadi kushindwa kumsaidia, Je Wasaidizi wa Samia wanamsaidia kwa kumweleza ukweli au nao wanamuogopa? Tumsaidie au..? sisi wananchi wa kawaida, hatupaswi kumuogopa rais, tunapaswa kumheshimu ndio maana watu kama sisi tunapokutana na Rais wetu, tunampiga tuu maswali yoyote kama hapa
View: https://youtu.be/kws2YUVqNq0?si=86Z4Lyd9UVXV2Cko na hapa
View: https://youtu.be/Ta0URHvUlko?si=mOGUZE6vfppl03kr
Na sio na Rais wetu tuu, hata marais majirani zetu
View: https://youtu.be/VS3dGmNY1XQ?si=otyjzZ5p2aNGvNyE
Tukirudi kwenye hizi panga pangua au pangua pangua za Rais Samia, kila kukitokea panga pangua nzuri zenye maslahi kwa taifa, huwa tunapongeza kama hivi Asante Rais Samia Kutuletea Prof. Kabudi Pale Sheria, Ni Best Brain, High IQ.na Bingwa wa Katiba. Je Atakuwa Mkweli Ubatili wa Katiba na Sheria au?. na hivi Uteuzi wa Prof Kabudi Mara ya 3 Sheria, Japo Umefanywa na Binadamu tuu, Una Roho wa Mungu!. Je Prof Kabudi Atatimiza Mapenzi ya Mungu au ya Binadamu? na hivi Asante Rais Samia Kumteua Prof. Assad, ni Mkweli, Atakusaidia Sana Kukuambia Ukweli, Tatizo Viongozi Wengi Hawapendi Kuambiwa Ukweli, Je Uko Tayari?.
Na kunapotokea pangua pangua ambazo watu wazuri, weledi wanatumbuliwa kimya kimya, huwa tunajiuliza kama hivi Pongezi Rais Samia kwa Kutuhisania Openness and Transparency Kwenye Uteuzi, Mnaonaje Ifanyike Kwenye Utenguzi na UtumbuzI Iwe ni Haki na Sio Hisani? na kujiuliza kama Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Mawaziri Wasiwe Wabunge?
Kuna watu wazuri wameteuliwa na kuperfom vizuri kama Jerry Slaa pale Ardhi mara ghafla ametolewa, au Paul Makonda pale kwenye uenezi akaanza kufanya wonders... mara katolewa, aliyeletwa is no match!.
Hii maana yake ama kuna washauri ama wanamshauri rais wetu erratically au kama ni uamuzi wake yeye rais mwenyewe then be it kwasababu she is a human being.
Ushauri: The Best Way Forward.
1. Kazi ya panga pangua iendelee mpaka tupate watu sahihi kote.
2. Katika panga pangua, ikitokea mtu ana perform vizuri na ana deliver kama Jerry Slaa pale Ardhi, asipanguliwe kwa haraka, na akipanguliwa iwe ni kupelekwa mahali pa juu zaidi panapostahili utendaji mahiri. Kumtoa Jerry Slaa pale Ardhi kutuletea huku kwenye habari is like a waste!.
3. Rais Samia endelee kutengeneze a Professional Cabinet, Wizara Professional kama sheria ziongozwe na Mwanasheria nguli, Wizara ya Afya iongozwe na Daktari bingwa, Wizara ya Fedha iongozwe na mchumi, Wizara ya Biashara iongozwe na mfanyabiashara etc.
4. Good performers waliondolewa kama Jerry Slaa Ardhi na Makonda uenezi, warejeshwe, na ikitokea ni lazima watoke, then the replacement ifananie na sio unamtoa mtu mzuri na kuleta flip-flops.
5. Wasaidizi wa Rais Samia kazi yao sio kumsifu Mama anaupiga mwingi, bali kumsaidia rais wetu kuwahudumia wananchi kwa kumshauri ushauri wa ukweli, wasio na uwezo wa kusaidia rais kwa ushauri wa ukweli wakae tuu pembeni na kuendelea kusifu wakiwa nje, watupishe tulete more able people ambao watasaidia na wata deliver.
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali