Rais Samia amekwenda India na Mawaziri 9

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,754
Reaction score
18,776
Nimenukuu habari katika chombo kimoja Cha habari kikieleza jinsi msafara wa rais ulivyowasili nchini India na Mawaziri tisa achalia mbali wawekezaji na wafanyabiashra walioambatana nae

Nasikia anakwenda kupewa degree ya heshima

Sasa fikiria hizo per diem za hao maafisa wake na mawaziri wote hao waliokwenda nao huku inatosha kabisa kujenga kituo kikubwa Cha afya hapa Namanjire Nkasi

Mbona rais wetu siyo mchumi kabisa anafuja pesa za wananchi wake huku yeye akizurura angani mwezi mzima bila kujali lolote, week iliyopita alikuepo Doha kisha kaunga safari juu kwa juu kwenda India kupewa degree

I wish I could be a president aiseee kuna watu wangeteseka sana nchi hii
 
Nimenukuu habari katka chombo kimoja Cha habr kikieleza jinsi msafara wa rais ulivyo wasili nchini India na mawaziri tisa achalia mbali wawekezaji na wafanyabiashra walio ambatana nae

Nasiki anakwenda kupewa degree ya heshima

SAS fikiria hizo per diem za hao maafisa wake na mawari wote hao walio kwenda nao huku inatosha kbsaa kujenga kituo kikubwa Cha afya hapa namanjire nkasi

Mbona rais wetu siyo mchumi kbsa anafuja pesa za wananchi wake huku yeye akizurura angani mwezi mzima bila kujali lolote ,jusi week iliyopita alikuepo Doha Kisha kaunga safari juu kwa juu kwenda India kupewa degree ,

I wish I could be a president aiseee Kuna watu wangeteseka sana nchi hii
Watarudi na zawadi za magunia ya pilipili.
 
Si mlikua mnataka pesa ije mtaani!? Tulieni sasa watu wakirudi kutoka India na perdium zao wazimwage kitaa na sisi mafundi tupate japo kidogo wakianza kujenga mahekalu yao na hizo pesa zao za perdium!!
 
Kwli lkn siyo vzr kuwa na tabaka la maskini kubwa ktk taifa hili

Kenya matajiri Ni wachache sna kuliko maskini
 
Nimenukuu habari katka chombo kimoja Cha habr kikieleza jinsi msafara wa rais ulivyo wasili nchini India na mawaziri tisa achalia mbali wawekezaji na wafanyabiashra walio ambatana nae

Nasiki anakwenda kupewa degree ya heshima

SAS fikiria hizo per diem za hao maafisa wake na mawari wote hao walio kwenda nao huku inatosha kbsaa kujenga kituo kikubwa Cha afya hapa namanjire nkasi

Mbona rais wetu siyo mchumi kbsa anafuja pesa za wananchi wake huku yeye akizurura angani mwezi mzima bila kujali lolote ,jusi week iliyopita alikuepo Doha Kisha kaunga safari juu kwa juu kwenda India kupewa degree ,

I wish I could be a president aiseee Kuna watu wangeteseka sana nchi hii
Rais hafuati digrii ya heshima, amekwenda kwa mambo makubwa na Mengine kwenye sekta zaidi ya sita

Kama kwa upeo wako umeona degree ya heshima tu Basi una maafa makubwa ya uelewa
 
Back
Top Bottom