Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 4,704
- 8,093
Wewe ndio mpumbavu,Kuna Msaada au Kuna fursa za Uchumi na mikopo? Wewe ambae una akili umefanya kipi Cha maana hapa Tanzania?
View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1711314611629175291?t=9wV_JFkyupQXHzZMoX94Gg&s=19
Tahira kabisa Kama mpaka Sasa hujui mchango wangu Tz... Samia amefanya Nini? Ameodhesha mtoto akajenga barabara? Au ameuza rasilimali zetu na kukagawa kwa wavaa makobazi wenzake!