Rais Samia amekwenda India na Mawaziri 9

Nimenukuu habari katka chombo kimoja Cha habr kikieleza jinsi msafara wa rais ulivyo wasili nchini India na mawaziri tisa achalia mbali wawekezaji na wafanyabiashra walio ambatana nae

Nasiki anakwenda kupewa degree ya heshima

SAS fikiria hizo per diem za hao maafisa wake na mawari wote hao walio kwenda nao huku inatosha kbsaa kujenga kituo kikubwa Cha afya hapa namanjire nkasi

Mbona rais wetu siyo mchumi kbsa anafuja pesa za wananchi wake huku yeye akizurura angani mwezi mzima bila kujali lolote ,jusi week iliyopita alikuepo Doha Kisha kaunga safari juu kwa juu kwenda India kupewa degree ,

I wish I could be a president aiseee Kuna watu wangeteseka sana nchi hii
Kama ungeteuliwa kwenye msafara huo haya usinge yasema lamkosaji tu
 
keep wishing
TYou wont be a president though
Mwendazake hakusafiri maneno yalikua kibao na kejeli za kumwaga mama kasafiri na mawaziri pia mnakejeli yaani wewe umefikiri hao mawaziri alioambatana nao wameenda kupiga makofi mama kupewa degree ya heshima kweli??
Acha mama atutafutie fursa sisi wakulima wewe endelea kupinga hapa na bila kuwa na taarifa sahihi
Ameenda kutafuta fursa? Seriously? Alooo...
 
Huyo bibi hajielewi yaani.

Hao wahindi wamekuwapo hapa tangia uhuru wanatuibia tu ila hatukomi tumeona bora tuwafuate huko huko watuibie vizuri.

Idi Amini pamoja na madhaifu yake yote aliwafukuza hawa wezi uchumi ukabakia mikononi mwa wazawa.

Tanzania tutaendelea tukiamua kuachana na haya mafisadi ya kihindi ni majizi yaliyokibuhu na huyu mama yeye keshaamua kuungana ma mijizi atupige.
 
Nimenukuu habari katka chombo kimoja Cha habr kikieleza jinsi msafara wa rais ulivyo wasili nchini India na mawaziri tisa achalia mbali wawekezaji na wafanyabiashra walio ambatana nae

Nasiki anakwenda kupewa degree ya heshima

SAS fikiria hizo per diem za hao maafisa wake na mawari wote hao walio kwenda nao huku inatosha kbsaa kujenga kituo kikubwa Cha afya hapa namanjire nkasi

Mbona rais wetu siyo mchumi kbsa anafuja pesa za wananchi wake huku yeye akizurura angani mwezi mzima bila kujali lolote ,jusi week iliyopita alikuepo Doha Kisha kaunga safari juu kwa juu kwenda India kupewa degree ,

I wish I could be a president aiseee Kuna watu wangeteseka sana nchi hii
Hakuna mchumi duniani asiyejuwa dhanna ya kula uliwe.
 
Wewe ni mpunbavu Tz Kama Ina viongozi wenye akili na sio vilaza Kama huyu hiyo misaada unayoisema wangepelekea Somalia huko wenye Vita sio Tz wenye kila rasilimali!!
Kabla ya kuropoka ungejiuliza Tzn na India nani ana shida?

Bila India mambaazi yenu mngepeleka wapi?

Bila India kuwapa pesa maji kwenye Miji 28 mngepata wapi?

Na mambo mengine mengi
 
Rais hafuati digrii ya heshima, amekwenda kwa mambo makubwa na Mengine kwenye sekta zaidi ya sita

Kama kwa upeo wako umeona degree ya heshima tu Basi una maafa makubwa ya uelewa
Ungeyataja hapa vinginevyo punguza uchawa wa kijinga...
 
Sasa siku nne watajifunza nn wkt mle ndani wanawaza wakifika bongo wamalizie nyumba zao na apartment walizo zijenga huku ilazo
Hivi maboss wanarudi lini Nchini!? Mafundi tunasubiri mshiko tumalizie kazi zao, alafu pia mafundi tunadaiwa na akina Mama lishe pesa ya msosi tunaokula tukiwa site kwa Maboss!!
 
Ungeyataja hapa vinginevyo punguza uchawa wa kijinga...
Hakuna chawa mwerevu my sister

Kata uchawa kwa vitendo

Nyie wenye kukurupuka bila analysis ndio mnafanya tusiendelee

Fanya homework mt sister utatoboa fresh tu

Tena ukikaza namna hii hata mimba utapata
 
Nimenukuu habari katka chombo kimoja Cha habr kikieleza jinsi msafara wa rais ulivyo wasili nchini India na mawaziri tisa achalia mbali wawekezaji na wafanyabiashra walio ambatana nae

Nasiki anakwenda kupewa degree ya heshima

SAS fikiria hizo per diem za hao maafisa wake na mawari wote hao walio kwenda nao huku inatosha kbsaa kujenga kituo kikubwa Cha afya hapa namanjire nkasi

Mbona rais wetu siyo mchumi kbsa anafuja pesa za wananchi wake huku yeye akizurura angani mwezi mzima bila kujali lolote ,jusi week iliyopita alikuepo Doha Kisha kaunga safari juu kwa juu kwenda India kupewa degree ,

I wish I could be a president aiseee Kuna watu wangeteseka sana nchi hii

Kabisa kwa kweli kiongozi
 
Back
Top Bottom