Rais Samia amekwenda India na Mawaziri 9

Rais Samia amekwenda India na Mawaziri 9

Kabla ya kuropoka ungejiuliza Tzn na India nani ana shida?

Bila India mambaazi yenu mngepeleka wapi?

Bila India kuwapa pesa maji kwenye Miji 28 mngepata wapi?

Na mambo mengine mengi
Hoja yako haina mashiko ukumbuke hio Biashara unaisem kw sbb mbaazi hatuwapi bure pia. Kw kifup huwez mtumwa WA nchi Fulani eti kisa unawauzia vitu vyako huo ni Uwendawazimu. Hapakiw na haja ya kwend Weng ivo km ni kwel kufata degree ya heshim Tu si Bora angemtum Majaliwa amkaimu Tu kuliko kuchezea fedha za Umma.
 
Uchumi ni kuleta miradi sio kufanya ziara za mikoani ambazo hazina tija. Swali linatakiwa kuwa je ni miradi gani ya maendeleo wameleta? Gharama sio tatizo kama miradi inakuja. Inawezekana ile pesa ya mafuta ya VX ni zaidi ya bei ya chumba kwa siku
Rubbish
 
Umesomea uchumi wapi kwanza anako zunguka ana tumia pesa ....pili anapo pewa mkopo ana rudisha kwa riba ....haya kwa hayo machache chukua riba + hayo matumizi aliyo fanya .... uje hapa utuambie tunaenda mbele au
Uchumi wake amesomea vichochoroni haelewi kitu
 
Tumuacheni rais aongoze nchi.
Ulitak aende n nani n nani?
Mna akili kumzidi mbona ninyi msiwe rais wa Tanzania?
Haya 2025 ongieni mgombee mmtoe basi si kupiga kelele tu hapa.
Chukueni hatua sio Kila saa kumkashifu mtu aliyepewa dhamana ya kuongoza nchi.
Chukueni hatua si kulalama.
Rubbish absolutely rubbish
 
Hoja yako haina mashiko ukumbuke hio Biashara unaisem kw sbb mbaazi hatuwapi bure pia. Kw kifup huwez mtumwa WA nchi Fulani eti kisa unawauzia vitu vyako huo ni Uwendawazimu. Hapakiw na haja ya kwend Weng ivo km ni kwel kufata degree ya heshim Tu si Bora angemtum Majaliwa amkaimu Tu kuliko kuchezea fedha za Umma.
Kbsaa
 
Nimenukuu habari katka chombo kimoja Cha habr kikieleza jinsi msafara wa rais ulivyo wasili nchini India na mawaziri tisa achalia mbali wawekezaji na wafanyabiashra walio ambatana nae

Nasiki anakwenda kupewa degree ya heshima

SAS fikiria hizo per diem za hao maafisa wake na mawari wote hao walio kwenda nao huku inatosha kbsaa kujenga kituo kikubwa Cha afya hapa namanjire nkasi

Mbona rais wetu siyo mchumi kbsa anafuja pesa za wananchi wake huku yeye akizurura angani mwezi mzima bila kujali lolote ,jusi week iliyopita alikuepo Doha Kisha kaunga safari juu kwa juu kwenda India kupewa degree ,

I wish I could be a president aiseee Kuna watu wangeteseka sana nchi hii
...Mbona kule Arabuni alienda Kimya Kimya ?.…[emoji848][emoji848]
 
Nimenukuu habari katika chombo kimoja Cha habari kikieleza jinsi msafara wa rais ulivyowasili nchini India na Mawaziri tisa achalia mbali wawekezaji na wafanyabiashra walioambatana nae

Nasikia anakwenda kupewa degree ya heshima

Sasa fikiria hizo per diem za hao maafisa wake na mawaziri wote hao waliokwenda nao huku inatosha kabisa kujenga kituo kikubwa Cha afya hapa Namanjire Nkasi

Mbona rais wetu siyo mchumi kabisa anafuja pesa za wananchi wake huku yeye akizurura angani mwezi mzima bila kujali lolote, week iliyopita alikuepo Doha kisha kaunga safari juu kwa juu kwenda India kupewa degree

I wish I could be a president aiseee kuna watu wangeteseka sana nchi hii
Ungewataja hao Mawaziri ingesaidia kujua kama kuna Tija ama??
 
Back
Top Bottom