Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,850
- 12,086
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Meli Mpya ya hapa kazi tu katika Bandari ya mkoani wa Mwanza leo tarehe 14 Juni, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteremka kutoka ndani ya Meli Mpya ya Abiria na Mizigo ya MV Mwanza inayoendelea kujengwa katika bandari ya Mwanza South Mkoani Mwanza mara baada ya kagua maendeleo ya Ujenzi wa Meli hiyo tarehe 14 Juni, 2023.
Meli Mpya ya Abiria na Mizigo ya MV Mwanza inayoendelea kujengwa katika bandari ya Mwanza South Mkoani Mwanza.
Jengo la Hoteli itakayokuwa na hadhi ya Nyota tano ambayo inaendelea kujengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii NSSF Mkoani Mwanza.