Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 18,730
- 29,265
Yeye ni Rais wa nchi gani?
Swali zuri sana hili
Yeye ni Rais wa nchi gani?
Na yawezekana Mwananchi huyu angepita mlemle...!!! Sasa angepita tu akaenda kule ambapo Tanzania ni kubwa kama maelekezo angempa huyo huyo Mbunge.DP World
Anasimama kufanya nini?kuchimba dawa!Rais anaweza kusimama popote anapotaka
Samia sio mkurupukaji, na haendeshi nchi kama Magufuli, bali kwa namna yake mwenyeweMbona Magu zingine alizipatia majibu instantly hapo hapo? Kuna zingine ni nyepesi anaweza toa order kwa DC au RC na ikafanyiwa kazi mapema zaidi. Sasa anasimama ili acheke na wananchi?
Ni kweli Rais hawezi kusikiliza kero za mwananchi mmoja mmoja, itakuwa jau sana .... mwingine kapigwa na mumewe anataka kesi apeleke kwa Rais, tutamaliza saa ngapi?
Alihofia asije kuulizwa swali kuhusu DP World!! Hilo bado ni kaa la moto kwake!!Rais Samia leo September akiwa Nangurukuru mkoani Mtwara alisimamisha msafara wake kuongea na wananchi wa eneo hilo. Moja wananchi hao aliomba kuongea jambo ambapo Rais alimwambia mambo ni mengi na Tanzania ni kubwa.
Rais Samia alimtaka mwananchi huyo ampatie jambo lake mbunge kisha amfikishie Rais au wasaidizi wake.
Mwaka 2017 Rais Magufuli akiwa anaelekea Mtwara alisimamishwa Somanga na mwananchi aliyeelezea changamoto ya zahanati katika eneo hilo kutokamilika kwa miaka mingi. Rais Magufuli alichangia na kuamrisha ikamilike.
Alipopita tena barabara hiyo miaka 3 baadae mwananchi huyo alimzawadia jogoo kama shukrani ya kutimiza ahadi ya kufanyia kazi dukuduku lake na Magufuli alimsubiri mpaka alipomkamatia na kumpa. Alipofariki, mwananchi huyo alifunga safari kumzika Rais Magufuli mwaka 2021.
Ili iweje? Rais hawezi kusikiliza kero za mtu mmoja mmoja, na hata akisikiliza hawezi kufanya maamuzi hapo kwa hapo, maana inawezekana huyo mwananchi akawa anapotosha pia. Kama yule mama wa Tanga alivyompotosha Magufuli
Marekani hamna viongozi wa wa mchongo na matapeli kama wa Tanzania na ndiyo maana Wananchi wanaziamini system zao lakini Tanzania tuna viongozi wa ovyo na wengine ndiyo vinara wa kusababisha migogoro kama wale DC na DED waliohamisha mradi wa serikali kwa madai ya kisiasa na Rais aliwatumbua.Sasa unataka Wananchi waamini viongozi Wahuni?Maana ya kuwa na wasaaidizi au kuwa na viongozi wa serikali ni nini?
Wewe umewahi shuhudia wapi rais akisikiliza kero za mtu mmoja mmoja hapa duniani? At huyo wa marekani ushawai sika?
Sasa kinachotakiwa ni kuzitengeneza hizo systems zinazoaminika, sio mambo ya one man show na maigizo ya barabarani.Marekani hamna viongozi wa wa mchongo na matapeli kama wa Tanzania na ndiyo maana Wananchi wanaziamini system zao lakini Tanzania tuna viongozi wa ovyo na wengine ndiyo vinara wa kusababisha migogoro kama wale DC na DED waliohamisha mradi wa serikali kwa madai ya kisiasa na Rais aliwatumbua.Sasa unataka Wananchi waamini viongozi Wahuni?
2025 wala hata siyo mbali mbona.Ili iweje? Rais hawezi kusikiliza kero za mtu mmoja mmoja, na hata akisikiliza hawezi kufanya maamuzi hapo kwa hapo, maana inawezekana huyo mwananchi akawa anapotosha pia. Kama yule mama wa Tanga alivyompotosha Magufuli
Amefanya nini cha maana tokea aiingie? Mafuta yamepanda, Kauza Ngorongoro na kuhamisha kinguvu Wamasai,kauza banadari! Huyo ubongo wake mdogo hawezi kuhimiri mikikimikiki aliyokuwa nafanya Magufuli!Samia sio mkurupukaji, na haendeshi nchi kama Magufuli, bali kwa namna yake mwenyewe
Watanzania tupo million 61 na laki 7.Hivyo mh Rais hawezi kumsikiliza kila mtu,lakini kupitia wawakilishi wa wananchi na wasaidizi wa Mh Rais kila mwananchi anaweza kufikiwa na mkono wa Mh Rais na akatatuliwa shida yake.Mandhali Lucas mwashambwa ameshamwambia anapendwa nchi nzima, na anachukiwa na uongozi wa taifa wa CHADEMA pekee basi hana hata haja ya kusikiliza kero maana zinampotezea muda njiani
Ili iweje? Rais hawezi kusikiliza kero za mtu mmoja mmoja, na hata akisikiliza hawezi kufanya maamuzi hapo kwa hapo, maana inawezekana huyo mwananchi akawa anapotosha pia. Kama yule mama wa Tanga alivyompotosha Magufuli
Rais Samia leo September akiwa Nangurukuru mkoani Mtwara alisimamisha msafara wake kuongea na wananchi wa eneo hilo. Moja wananchi hao aliomba kuongea jambo ambapo Rais alimwambia mambo ni mengi na Tanzania ni kubwa.
Rais Samia alimtaka mwananchi huyo ampatie jambo lake mbunge kisha amfikishie Rais au wasaidizi wake.
Mwaka 2017 Rais Magufuli akiwa anaelekea Mtwara alisimamishwa Somanga na mwananchi aliyeelezea changamoto ya zahanati katika eneo hilo kutokamilika kwa miaka mingi. Rais Magufuli alichangia na kuamrisha ikamilike.
Alipopita tena barabara hiyo miaka 3 baadae mwananchi huyo alimzawadia jogoo kama shukrani ya kutimiza ahadi ya kufanyia kazi dukuduku lake na Magufuli alimsubiri mpaka alipomkamatia na kumpa. Alipofariki, mwananchi huyo alifunga safari kumzika Rais Magufuli mwaka 2021.
Kipindi kile nyumbu walisema wananunuliwa wakaigize kwa MaguRais Samia leo September akiwa Nangurukuru mkoani Mtwara alisimamisha msafara wake kuongea na wananchi wa eneo hilo. Moja wananchi hao aliomba kuongea jambo ambapo Rais alimwambia mambo ni mengi na Tanzania ni kubwa.
Rais Samia alimtaka mwananchi huyo ampatie jambo lake mbunge kisha amfikishie Rais au wasaidizi wake.
Mwaka 2017 Rais Magufuli akiwa anaelekea Mtwara alisimamishwa Somanga na mwananchi aliyeelezea changamoto ya zahanati katika eneo hilo kutokamilika kwa miaka mingi. Rais Magufuli alichangia na kuamrisha ikamilike.
Alipopita tena barabara hiyo miaka 3 baadae mwananchi huyo alimzawadia jogoo kama shukrani ya kutimiza ahadi ya kufanyia kazi dukuduku lake na Magufuli alimsubiri mpaka alipomkamatia na kumpa. Alipofariki, mwananchi huyo alifunga safari kumzika Rais Magufuli mwaka 2021.
Wewe ni mjinga, unaona Sawa mwananchi kutosikilizwa na Rais ? Au hujui ujinga unaofanywa ngazi za mkoa na wilaya ?Tatizo walijazwa upepo na yule mwigizaji au bwana yule
Kura tu ndio zinahitajika za mmoja mmoja kweli ma CCM ni laanakumIli iweje? Rais hawezi kusikiliza kero za mtu mmoja mmoja, na hata akisikiliza hawezi kufanya maamuzi hapo kwa hapo, maana inawezekana huyo mwananchi akawa anapotosha pia. Kama yule mama wa Tanga alivyompotosha Magufuli
Kisiasa, mama kateleza!Rais Samia leo September akiwa Nangurukuru mkoani Mtwara alisimamisha msafara wake kuongea na wananchi wa eneo hilo. Moja wananchi hao aliomba kuongea jambo ambapo Rais alimwambia mambo ni mengi na Tanzania ni kubwa.