FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,883
- 109,212
Una uhakika gani hafanyi uzeeni? Au huwa anakwambia kila anapofanya?Mama yangu alifanya ujanani sio huyo anaefanya uzeeni 63+, naona mama yako amemkubali kafiir piraa.
Una uhakika gani hafanyi uzeeni? Au huwa anakwambia kila anapofanya?Mama yangu alifanya ujanani sio huyo anaefanya uzeeni 63+, naona mama yako amemkubali kafiir piraa.
Unamaanisha alikuwa pagani, hana dini? Ndivyo elimu yako ilipoishia hapo?Hakuwa na dini na epuka sana matapeli watakaokuambia alikuwa na dini.
Haya we danganywa na waarabu.Unaona donge tu. Kama "udini" ni Uislam basi ni lazima uone aibu, kwa kuwa wewe unaabudu binaadam mwenzio kwa kudanganywa na wazungu.
😂 eti na ww unacheka. Dini ni yenu wanaadamu yeye hakuwa mfuasi wa dini. Kwani mpagani ni nani? Asokuwa na dini iloanzishwa na binadamu au asiyemjua Mungu muumba mbingu na ardhi??Unamaanisha alikuwa pagani, hana dini? Ndivyo elimu yako ilipoishia hapo?
kwi kwi kwi teh teh teh. Tutakuelimisha tu, kidogo kidogo utaelewa tu.
Unaudhlilisha uislam unapouweka kwenye utetezi wa hoja zako! Na pengine unatetea kwa nia ya kuendeleza matabaka tu, lakini hata imani na maadili ya dini hiyo, huna!Ishu ni kutokuwa na dini?
Kama kwa neno "udini" unamaanisha ni Uislam, basi "ishu" yote ni Uislam. Nje ya hapo ndipo hakuna "ishu".
Jamaniiiiiii...aibu jaman.Unaona donge tu. Kama "udini" ni Uislam basi ni lazima uone aibu, kwa kuwa wewe unaabudu binaadam mwenzio kwa kudanganywa na wazungu.
Ataelewa tu kichwa ngumu wapi. 😂Unamaliza kuni kuchemsha mawe mkuu! Hoja ya faizafoxy ni ya ki-mhadhara! Hawa watu wa Kigoma wamesomea ubishi, hawezi kukuelewa wala kuelewa maandiko matakatifu!
Kikongwe mkosa kizaziAlhamduliLlah sisi hatulei wajukuu, wana wazazi wao.
Hahaa!
Rais Samia ameitisha kikao ikulu udiku huu kujadili kupanda kwa bei ya mafuta , huku kikao hiko kikihudhuriwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nishati January Makamba...
Maneno tu hayo. Alisema watu wamepandisha Bei ya mbolea kiholela. Ila Hadi Leo hakuna alichofanya Wala kuchukua hatua na bei bado ipo vilevileNimemsikiliza Waziri Bashe muda mfupi uliopita alipokuwa akichangia hoja ya wizara ya viwanda na uwekezaji, yule kijana ni hazina maana variables zote za kilimo na viwanda kwa hakia viko mdomoni kwake. Nigependa sana awe waziri wetu wa fedha going forward.
Hizo themosi zingetumiwa kama mfano wa kubana matumizi kwenye aina ya magari yanayotumiwa na serikali. Au zina masharti ya mtaalamu maana wazina hadhi ya Ikulu.
Hizo ni femos 😂Una uhakika hizo ni thermos? Au ndio nyie kila kituo cha kuuzia mafuta mnaita sheli