Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,840
- 7,916
Mwandish wa hii thredi ameshapiga b100 km masiharaHapa ndipo tunapoanza kuchukiana na kuwahisi mnatuibia
Heading inasema 373 bil
Content inasema 273 bil
Naweka record sawa msije mkatupiga changa la macho, hatutaki ujanjaujanja
Rais Samia Afanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRC)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzay Mheshimiwa Samia Suluhu leo Mei 22, 2021 amekutana na kufanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania ( TRC) Masanja Kadogosa Katika mazungumzo hayo muhimu yaliyofanyika Ikulu pamoja na mambo mengine walijadili maendeleo ya Mradi wa...www.jamiiforums.com
Hana namna asitoe aone mradi ukimdodeaHakika KAZI IENDELEE
Masanja Kadogosa amekiri kuwa wamepokea kiasi cha Tsh bilioni 273 ambazo zinaenda kujenga mradi wa reli SGR kutoka Mwanza hadi Isaka.
Umeona mkuu wameanzaMwandish wa hii thredi ameshapiga b100 km masihara
Mkuu na ndiyo aina ya watendaji wengi tulionao serikalini hawakumbuki jana alipewa kiasi gani, ametumia kiasi gani, amebaki na kiasi gani, anachojua zipo na zimekwisha basiMkuu kweli wewe ni jingalao!! ipi ni kweli, 373 au 273?
Rekebisha Sasa huko juu.272.9
Na mimi nilimuuliza swali hilo hajajibuunawajua wamiliki wa TAZARA?
Mwendazake aliimkuta Kadogosa hapo TRL. Tuweke rekodi sahihiKadogosa aondolewe aludi kwao Bariadi,aliwekwa kimasilahi na mwendazake.
Kukosolewa ni sehemu ya uongozi pia kupongezwa ni sehemu ya uongoziIla mambo yakiharibika kulaumu ni wajibu!!!. hizi ndio mentality za kiafrika siku zote zinahalalisha malalamiko.
Tanzania na Zambia😃unawajua wamiliki wa TAZARA?
Napinga utamaduni wa kukosoa kupitiliza mpaka mtu anasahau kuweka mipaka ya ukosoaji. Hayati JPM alifanya sana kazi, alijituma vilivyo.Kukosolewa ni sehemu ya uongozi pia kupongezwa ni sehemu ya uongozi
Je watu wanajua wapi pa kupongeza na wapi pa kukosoa??
Mfano huwezi kuipongeza serikali kwa kuleta maji mtaani kwenu sababu unalipa kodi na kodi hiyo inaangukia kwa serikali kuwasogezea huduma wananchi wake kama hayo maji!
Je serikali isipoleta maji mfanyeje jibu ni inakosolewa kwa kushindwa kufanya jukumu lake la msingi kwa kusogeza huduma muhimu ya maji kwa walipa kodi!
Bad enough washamba na mkuu wao waliwafanyia watu brainwashing na kupongeza pongeza hata vitu vya kijinga hivi mlifikiri serikali inajiongoza kwa pesa zake mfukoni?? Izitoe wapi kama sio kwa hao wananchi wanaoipongeza kwa kutimiza majukumu yake!
Tunajenga kw hela zetu z ndanZimetoka kwa Mabeberu?
Ingekuwa awamu ya tano ungeandika Magufuli ametoa!Hakika KAZI IENDELEE
Masanja Kadogosa amekiri kuwa wamepokea kiasi cha Tsh bilioni 273 ambazo zinaenda kujenga mradi wa reli SGR kutoka Mwanza hadi Isaka.
Wanaosalimu mwakata huwa ni watu smart sana sasa we jamaa sijui boflo la wapi.Nyie CHADEMA changieni sasa mbona mmekaa kimya na hilo genge lenu la akina Nape,,Kikwete,,Ridhiwani,,,January...
Mnakodoa mimacho
Inachanja kona pale Chattle?Hakika KAZI IENDELEE
Masanja Kadogosa amekiri kuwa wamepokea kiasi cha Tsh bilioni 273 ambazo zinaenda kujenga mradi wa reli SGR kutoka Mwanza hadi Isaka.
Hivi wabunge hawa tulio nao, ambao zaidi ya robotatu hawakuchaguliwa na wananchi, chini ya huyu spika kigeukigeu, ni asset au liability?Angeweza kupeleka kwenye posho za wabunge huko
Hujui shirika la anga liko taabani hadi sasa! Nani muhusika na anayepaswa kuhojiwa na kulipa hasara ya billioni 60??Napinga utamaduni wa kukosoa kupitiliza mpaka mtu anasahau kuweka mipaka ya ukosoaji. Hayati JPM alifanya sana kazi, alijituma vilivyo.
Aliweza kuwa watu nafasi kwa kuangalia uwezo kuliko kuongozwa na majungu, kama sio JPM leo hii sekta ya anga ingekuwa hoi, leo hii treni isingefika Moshi baada ya miaka 25.
Leo hii kitu kinachoitwa gawio la mashirika kwa hazina kisingekuwepo. SGR isingekuwa inajengwa.
Umechemka hapo mwishoni kujaribu kumponda JPM kama sehemu ya kumalizia hoja yako.