Rais Samia Afanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRC)

Hakika KAZI IENDELEE
Masanja Kadogosa amekiri kuwa wamepokea kiasi cha Tsh bilioni 273 ambazo zinaenda kujenga mradi wa reli SGR kutoka Mwanza hadi Isaka.
Hapa ndipo tunapoanza kuchukiana na kuwahisi mnatuibia
Heading inasema 373 bil
Content inasema 273 bil

Naweka record sawa msije mkatupiga changa la macho, hatutaki ujanjaujanja

Hiyo ni kazi ya serikali hakuna haja ya pongezi!

Kwani mailman anapongezwa mara afikishapo mzigo mahali alipoambiwa??
 
Hakika KAZI IENDELEE
Masanja Kadogosa amekiri kuwa wamepokea kiasi cha Tsh bilioni 273 ambazo zinaenda kujenga mradi wa reli SGR kutoka Mwanza hadi Isaka.
Bilion 100 wamezigawana na mkuu wake watuambie zimeenda wap?
 
Back
Top Bottom