MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,654
- 48,432
Pale Uganda hakuna wa kumsema Museveni, amewashikilia kote kote, yaani kuna kipindi niliishi pale hata kumtaja jina hatajwi hovyo, hata kwenye ulevi, ukilewa humtaji jina utakavyo. Nilijaribu kujadili nao siasa za kwao, aisei walikua wanaongea kwa uwoga uwoga....ikabidi na mimi niufyate.