Rais mstaafu TLS - Mfumo wa Haki Jinai Tanzania uundwe upya, haki ipatikane

elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
10,070
2,000
Wewe ulikuwa Rais wa Tls,kwani unachokieleza hukukiona wakati ukiwa Rais?
T L S ni chama cha wanasheria hakina mamlaka yoyote serikalini, hicho alichokisema ni maoni yake binafsi sawa na ambavyo wewe ungesema, members wa JF tujifunze kufuatilia mambo muhimu tusikalie kubishana tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom