Bado mnakubaliana na pendekezo la ripoti ya haki jinai kwamba Polisi iwe chombo pekee cha uchunguzi Tanzania? Watuhumiwa watapewa dhamana nchini?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
876
4,101
Kama polisi kesi ya wakina Dr. Slaa wameshindwa kuifikisha mahakama kwa karibia wiki sasa je wakipewa jukumu kama waliopendekeza akina Haki Jinai nchi itasogea?

Kwamba polisi achunguze madawa, rushwa, azime moto, akakamate wahamiaji haramu na kuchukua hatua kwenye kila jinai nchi; haki itapatikana?

Kesi moja tu haki ya masaa 24 kufikisha mtuhumiwa mahakamani I.eshindikana ; je wamionhozewa majukumu ya vyombo vingine si tutakoma?

Nilikuwa natafakari sana kwanini Mzee Mangu ametetea kwenye ripoti yake kila kitu kwenye haki jinai kibaki polisi, ni kwa sababu anataka kumopolize haki.......naamini leo polisi wakipewa mamlaka ya kukamata raia wa kigeni nchi hii kama wanavyofanya watu wa uhamiaji na labour wageni watakimbia nchi.

Haki jinai siyo mfumo wa taasisi ni mfumo wa kisiasa wa nchi. Mwanasiasa akiamua ukae mahabusu unakaa, akiamua uende mahakamani inapelekwa na akiamua uende gerezani unakwenda.
 
Back
Top Bottom