Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
unajua ukikata mti mmoja ukikamatwa unapaswa kulipa kiasi gani?Mapori yako mengi sema mnapenda kukaa karibu
unajua ukikata mti mmoja ukikamatwa unapaswa kulipa kiasi gani?Mapori yako mengi sema mnapenda kukaa karibu
Umeandika vizur sana mkuuu Nataman ningekuwa na no yake ya sm nimtumie huo ujumbe ili angalau atoe milion 50 alizoahid kwa kila kata wapewe vijana.Magufuli tupatie mashamba tukalime baba, jana umeagiza tukamatwe, tupelekwe kambini tulime kwa lazima.
Hakuna haja ya kukamatwa baba, tupatie tu mashamba tutalima wenyewe, kule vijijini kila pori tunalogusa tunaambiwa la mwekezaji, kila shamba tunaloliona tunaambiwa la mheshimiwa fulani.
Hakuna mashamba ya wazi baba, hata serikali imegawa mashamba yake kwa wadosi.Tukienda kwa nguvu tunaitwa wa wavamizi baba.
Tunavamia katika nchi yetu.Tukienda kuvua samaki tunaitwa wavuvi haramu baba'Tusaidie pia na vitendea kazi, hata majembe ya ngwamba tu baba. Mbolea Na umwagiliaji tutamwachia tu Mungu ataleta neema zake baba.
Tukienda kukopa tunaambiwa tuweke dhamana ya nyumba ama kiwanja baba, tutatoa wapi hizo dhamana sisi wacheza Pool table baba?.
Waangalie na TIB na Benki ya Kilimo baba kama mikopo yao inawafaa vijana . unaowakurupusha leo!Benki zako zinawafaa zaidi wazee kukopa kuliko sisi vijana baba.
Uwakumbushe na wale vijana wa CCM baba, hawataki kulima, hataki kazi,hawataki biashara, kutwa kucha kukusifia wanasubiri uteuzi baba.
Wengine wakilala wanauota U DC, wengine wamebadilisha mpaka miondoko baba kusubiri uteuzi wako baba, wameshakosa U RC bado U DC baba.
Tafadhali sana baba usitufukuze tu bila kujua tutakapoelekea.
na huyu nae arudi kijijini akalime, anatakiwa aonyeshe mfano kwa wacheza pool wenzake kuwa amelisikia na kulitii agizo la rais.
kwenye jimbo gani hizo au kata gani? hapa mpaka nikafikiwe labda wajukuu zangu...Hizo pesa zinatoka kwa awamu ili kudhibiti na kusimamia matumizi bora. Hiyo milioni 800 ni fungu la kwanza ambalo liko tayari na muda wowote litafikishwa sehemu husika.
Utashona viatu...utafuga Samaki...utafanya shughuli za Usafi maofisini Kama mashamba hayatatosha. Wito wa Mh Rais ni Vijana muache uvivu na kucheza pool mchana kutwa ilhali fursa zipo nyingi. Jana nilikuwa naangalia citizen tv taarifa ya habari Kenya, kuna Raia wa Canada (Mzungu) amechangamkia fursa huko Kenya anatengeneza magrill ...stoves...na vifaa tofauti kwa kutumia vyuma. Jamaa ameoa Mkenya na kamfundisha MKE wake ambaye awali alikuwa receptionist katika Hospitali. Wanafanya kazi ya vyuma pamoja na wanatengeneza hela bila longolongo. Kuna Vijana wa kikenya wanaenda kujifunza ufundi hapo. Tatizo Vijana wa Kitanzania ni wavivu kupita maelezo.Tanzania Ina vijana wangapi ambao hawana ajira ? Kwa hiyo hayo mashamba yatawatosha vijana wote na kama mashamba yapo tangazeni mtulipie nauli tuje.
Wakifikiwa wajukuu zako azma na nia ya serikali itakuwa imekamilika. Utapata memo soon kuwa mvumilivu.kwenye jimbo gani hizo au kata gani? hapa mpaka nikafikiwe labda wajukuu zangu...
[QUOTECrashwise, post: 15587868, member: 10390"]Kilimo cha kutegemea mvua ni miezi isyozidi mitano je mingine inayobaki nikaishi jela?
kwa hiyo Mimi nitangulie magereza maana nilikuwa naitegemea hiyo pesa tukiitumia kuchimba visima nitalima hata heka moja ya viazi mviringo kwa kunyeshea sasa kwa kutegemea mvua imekuwa majanga mara kwa mara ingawa wewe unaongea huku ukipigwa viyoyozi shenzi kabisa...Wakifikiwa wajukuu zako azma na nia ya serikali itakuwa imekamilika. Utapata memo soon kuwa mvumilivu.
Kwa nini usiongee na Mh Mmiliki wa Chama hapo...kuna wakati si aliahidi kuleta mvua ya kutengeneza! Natumaini atawasaidia katika hilo suala la Kilimo cha umwagiliaji.kwa hiyo Mimi nitangulie magereza maana nilikuwa naitegemea hiyo pesa tukiitumia kuchimba visima nitalima hata heka moja ya viazi mviringo kwa kunyeshea sasa kwa kutegemea mvua imekuwa majanga mara kwa mara ingawa wewe unaongea huku ukipigwa viyoyozi shenzi kabisa...
Mmiliki wa chama kipi?Kwa nini usiongee na Mh Mmiliki wa Chama hapo...kuna wakati si aliahidi kuleta mvua ya kutengeneza! Natumaini atawasaidia katika hilo suala la Kilimo cha umwagiliaji.
Unaweza anzisha kibiashara hiyo miezi ili kujiongezea kipato sio kuamkia kwenye pool.Kilimo cha kutegemea mvua ni miezi isyozidi mitano je mingine inayobaki nikaishi jela?
Jaribu tu kuongea nae Kama mtu binafsi anaweza kuwasaidia. Mbona jana kuna taarifa zilikuwa mitandaoni kwamba anawasaidia Vijana kufungua kampuni ili kuiangusha CCM mwaka 2020!? Unganisha na wewe hiyo ya mvua huwezi jua...maana Mh. Ni msikivu sana.Mmiliki wa chama kipi?
Magufuli tupatie mashamba tukalime baba, jana umeagiza tukamatwe, tupelekwe kambini tulime kwa lazima.
Hakuna haja ya kukamatwa baba, tupatie tu mashamba tutalima wenyewe, kule vijijini kila pori tunalogusa tunaambiwa la mwekezaji, kila shamba tunaloliona tunaambiwa la mheshimiwa fulani.
Hakuna mashamba ya wazi baba, hata serikali imegawa mashamba yake kwa wadosi.Tukienda kwa nguvu tunaitwa wa wavamizi baba.
Tunavamia katika nchi yetu.Tukienda kuvua samaki tunaitwa wavuvi haramu baba'Tusaidie pia na vitendea kazi, hata majembe ya ngwamba tu baba. Mbolea Na umwagiliaji tutamwachia tu Mungu ataleta neema zake baba.
Tukienda kukopa tunaambiwa tuweke dhamana ya nyumba ama kiwanja baba, tutatoa wapi hizo dhamana sisi wacheza Pool table baba?.
Waangalie na TIB na Benki ya Kilimo baba kama mikopo yao inawafaa vijana . unaowakurupusha leo!Benki zako zinawafaa zaidi wazee kukopa kuliko sisi vijana baba.
Uwakumbushe na wale vijana wa CCM baba, hawataki kulima, hataki kazi,hawataki biashara, kutwa kucha kukusifia wanasubiri uteuzi baba.
Wengine wakilala wanauota U DC, wengine wamebadilisha mpaka miondoko baba kusubiri uteuzi wako baba, wameshakosa U RC bado U DC baba.
Tafadhali sana baba usitufukuze tu bila kujua tutakapoelekea.
Ndio maana Faizafox ana msemo wake naanza kuuelewa ...huwa anauliza "Huko shuleni/vyuoni huwa mnasomea UJINGA!?". Hawa Vijana wameshindikana mkuu.Mkuu acha kuwajaza watu ujinga na kuwapa fikra za kijinga, kwani wote tunaolima haya mashamba na mitaji tumepewa na JPM? Tusipende sana miteremko hata kitonga gari inashuka na break. Katika hii Tanzania hakuna mtu ambaye hana ndugu mwenye shamba na mashamba mengi hayalimwi, tatizo vijana tunabagua sana kazi kila mtu anawaza maisha mazuri ila hatuwazi njia bora za kujiingizia kipato.
Inasikitisha sana unakuta mtu humu JF anasema ana degree lakini analalamika kukatazwa kucheza pool table asubuhi. Kama wasomi ndo wanatetea watu kucheza pool table badala ya kufanya kazi za uzalishaji basi tusahau kuhusu mafanikio. Kuna mtu alisema vyuo vinazalisha watu vilaza sasa nimeanza kumuamini. Na wengi wanaocheza pool table muda wa kazi mara nyingi huwa wanawaza mali za urithi na kuombea wazazi wao wafe warithi mali.
Hapa tulikuwa tunaongelea namna ya vijana kujikwamua sasa naona umerudi kwa hasimu wenu atawatoa roho...Jaribu tu kuongea nae Kama mtu binafsi anaweza kuwasaidia. Mbona jana kuna taarifa zilikuwa mitandaoni kwamba anawasaidia Vijana kufungua kampuni ili kuiangusha CCM mwaka 2020!? Unganisha na wewe hiyo ya mvua huwezi jua...maana Mh. Ni msikivu sana.
mkaa unaupataje...Rudi tu kijijini kana hauna kazi mjini. Zile zama za kubangaiza hapa mjini kupita kila ofisi kupiga misele zimeyayuka, vigogo (wezi wa mali ya umma) wote chali, nani atawatunza? Unaambiwa hata mastaa feki wa Bongo muvi wanafikiria kuuza mkaa maana mchuzi umekauka.
Mkuu watanzania tumejaa siasa kwenye kila jambo, leo hii mtu na akili zake timamu analalamika swala la pool table.Ndio maana Faizafox ana msemo wake naanza kuuelewa ...huwa anauliza "Huko shuleni/vyuoni huwa mnasomea UJINGA!?". Hawa Vijana wameshindikana mkuu.
Mkuu pooltable ni mchezo ambao ukiwekeza utaingiza pesa kama michezo mingine...Mkuu watanzania tumejaa siasa kwenye kila jambo, leo hii mtu na akili zake timamu analalamika swala la pool table.