Rais Magufuli, tukalime wapi? Tupeni mashamba tukalime

Rais Magufuli, tukalime wapi? Tupeni mashamba tukalime

Hapa tulikuwa tunaongelea namna ya vijana kujikwamua sasa naona umerudi kwa hasimu wenu atawatoa roho...
Najaribu kukupa mbinu za kujikwamua. Atawatoa Roho nyinyi anaowamiliki na kuwaburuza mkuu.
 
Mmekimbia vijijini mmejazana mijini ambako hakuna mashamba. Rudi kijijini
Wafukuzwe tu warudi vijijini hata wasipolima warudi wakakae huko vijijini tu wametujazia nafasi sana sisi wa mjini
 
kibhopile amewaambia tatizo siyo pooltable fungua masoko, mabanki yatoe mikopo kwa riba nafuu, vijana tumilikishwe ardhi viwanda vifanye kazi mfano kitendo cha kufunga kiwanda cha General Tyre kuna wakulima wa Moira zaidi ya 100, 000 tuliwakosesha ajira zao maana GT ilikuwa inasambaza Tyre EA pata picha Leo tungekuwa wapi? halafu Mzee wa piga tuvakapiga marufuku kupeleka nafaka nje ya nchi tukaendelea kuuza mahidi kwa 50,000 badala ya 120,000 ukiyafikisha kenya/Somalia
 
Najaribu kukupa mbinu za kujikwamua. Atawatoa Roho nyinyi anaowamiliki na kuwaburuza mkuu.
Mbinu za kwenda kuomba? hizo mpe baba yako tujadiliane namna ya kuendesha hicho kilimo siyo mnapayuka payuka tu huku mkishindwa kuwapa pembejeo wakulima...
 
Mkuu pooltable ni mchezo ambao ukiwekeza utaingiza pesa kama michezo mingine...
Shida ni moja watu hawaelewi, JPM aliongelea swala la kucheza pool table muda wa kazi hajakataza kucheza pool table baada ya kazi. Afu unajua bei ya token moja ya pool table? mshindi akishinda game analipa kodi wapi?
 
Mbinu za kwenda kuomba? hizo mpe baba yako tujadiliane namna ya kuendesha hicho kilimo siyo mnapayuka payuka tu huku mkishindwa kuwapa pembejeo wakulima...
Mbona unapaniki kijana!?
 
Hizo meza za pool badilisha matumizi yake asubuhi mpaka jioni panga mboga mboga, nyanya, vitunguu n.k ujipatie kipato huku ukiitikia wito wa Mh Rais na kuisaidia jamii. Ikifika muda wa jioni endelea na Pool lako...changamkia fursa BALKIA wa nguvu.
biashara nyingine za mchicha na nyanya siziwezi, mi bitozi

na kingine ujue kenice linauzwa bei mbaya, usilete zarau eti nigeuze genge
 
Shida ni moja watu hawaelewi, JPM aliongelea swala la kucheza pool table muda wa kazi hajakataza kucheza pool table baada ya kazi. Afu unajua bei ya token moja ya pool table? mshindi akishinda game analipa kodi wapi?
Ni kazi ya serikali kutengeneza namna ya kukusanya kodi...
 
Nenda katika hizo sehemu nilizoainisha utapata habari kamili kuhusu taratibu zao. Acha kulia lia na kucheza Pool saa kumi na mbili asubuhi.
1458130859740.jpg
 
biashara nyingine za mchicha na nyanya siziwezi, mi bitozi

na kingine ujue kenice linauzwa bei mbaya, usilete zarau eti nigeuze genge
Utaenda kwenye makambi kulima hamna namna. Ukawaletee wanajeshi ubitoz huko na kuwaambia habari ya Kenice sijui shenice.
 
Ila CCM mnaisoma namba kudadadeki zenu...au nyie mnaruhusiwa kucheza pooltable na kupiga kilaji asubuhi...
 
Viwanda huwa vinajengwa siku moja!? Ndio kwanza kazi imeanza. Mtamuelewa tu Mh Rais. Wakati watu makini wanafanya kazi, wengine wako kwenye Pool sasa hivi wanapambana mtandaoni kukashifu Serikali ya awamu ya tano kwa kutumia vifurushi vya Chuo.
Mwambie Rais aondoe vifurushi vya chuo akimaliza aondoe social network then akate internet watu WAKALIME TU.
Nchi mliivurunda wenyewe sasa hivi ndiyo mnajifanya kuijenga kwa mabua, jitahidini
 
Mwambie Rais aondoe vifurushi vya chuo akimaliza aondoe social network then akate internet watu WAKALIME TU.
Nchi mliivurunda wenyewe sasa hivi ndiyo mnajifanya kuijenga kwa mabua, jitahidini
Endelea kusensi wee sensi.
 
na wewe ni mmoja wa hao vijana haswa wa LUMUMBA anaesubiria kupakatwa na POMBE
Sio hivyo tu ni nyumbu. Nilikuwa natafakari sana nani huwa ni nyumbu Leo nimewafahamu mkuu
 
Back
Top Bottom