Rais Magufuli, tukalime wapi? Tupeni mashamba tukalime

Rais Magufuli, tukalime wapi? Tupeni mashamba tukalime

Hakuna mtanzania ambaye Hana root kutoka familia ya wakulima
 
Ujue mchange ndiyo maana kila mwaka hata kwenye uchaguzi anashindwa porojo nyingi akili hakuna kwani huko kibaha mbona mashamba mengi tu.
 
Hawa watu ni wanafiki sana mkuu. Ukimpa hilo shamba leo bado atadai na trekta na umchimbie visima hapo shambani. Hawana Wema wala Shukrani kutwa ni malalamiko tu.

mkuu upo sahihi,jasiri haachi asili! kila uchao watu ni walalamishi tu!
 
Mashamba yapo mengi.

Haiwezekani mzungu au mchina anatoka ndani kabisa ulaya au shang'hai anakuja kulima au kutafuta fwenza vijijini kabisa huko moyoni mwa tanzania kama Mtimbilo alafu wewe umekaa unaBet huko MAHAKAMA YA MBUZI hadi serikali ikuletee bus la kukupeleka shamba.

Mfano: Dr Williamson miaka ya 40, alitoka CANADA hadi mabuki MISUNGWI kutafuta ALMASI wakati huo hata barabara ya changarawe haikuwepo. Leo JK kaweka Lami hadi shambani unalialia hapo daslamu.

Mioyo yetu vijana wengi tumepigwa sindano ya usingizi wa uvivu, tunadhani KUBETI,LIFARO na UDALALI vitatuokoa.
 
Hajasema vijana wafukuzwe, bali wapelekwe kambini na kupewa jembe wakalime. Right?!
 
Ukiacha kuinama inama kucheza Pool table na kufanya kazi utajua pool table ni tatizo
Tehe tehe..umenichekesha mkuu. Kumbe hawa Vijana wanaupenda huo mchezo kwa sababu ya kuinama inama mara kwa mara.
 
Viwanda huwa vinajengwa siku moja!? Ndio kwanza kazi imeanza. Mtamuelewa tu Mh Rais. Wakati watu makini wanafanya kazi, wengine wako kwenye Pool sasa hivi wanapambana mtandaoni kukashifu Serikali ya awamu ya tano kwa kutumia vifurushi vya Chuo.
Kama la viwanda limemshinda kama alivyokuwa anapayuka kwenye mikutano basi atuletee zile million 50 kila kijiji tutazitumiabkuchima visima tufanye hata kilimo cha umwangiliaji...
 
Kwa hiyo ki pool table changu ndo basi tena? Ndicho kinanipa hela ya kula, sasa nikale polisi? Huyu Mh sijui kafikiria nn
 
Viol binafsi nimekuwa nikilima kwa kukodisha shamba napolima shamba ni elfu 40 kwa heka ila similiki shamba langu mwenyewe.

Alafu don't take it personal ni mjadala tu watu tujaribu kuwa positive. Kwani kijana wa mjini hapa anashindwa ata kusambaza mitumba ya karume pale?
 
Kama la viwanda limemshinda kama alivyokuwa anapayuka kwenye mikutano basi atuletee zile million 50 kila kijiji tutazitumiabkuchima visima tufanye hata kilimo cha umwangiliaji...
Ulitaka akuletee viwanda ndani ya miezi minne kutoka wapi!!?? Let's be real on this. Uwe na adabu hata ya kununulia dagaa..Mh Rais hapayuki alikuwa anaeleza mikakati yake kwa Maendeleo ya kila MTANZANIA bila kujali Dini..Kabila wala Itikadi ya Chama.
 
Tatizo vijana wengi wanadhani kukimbilia mjini ndio suluhu ya matatizo wakati wanashinda kwenye pool table

Vijijini mashamba ni mengi sana na Tanzania bado ina mapori mengi sana vijana rudini huku vijijini mlime acheni kupuyanga mjini. Na hao wanao watetea nao siju wamekula maharage ya wapi?
 
Ujue mchange ndiyo maana kila mwaka hata kwenye uchaguzi anashindwa porojo nyingi akili hakuna kwani huko kibaha mbona mashamba mengi tu.
CCM akili hakuna mnatuhamaaishabkulima masoko yako wapi? au ndiyo kuhamasisha watu wapimwe ukimwi huku mkijua hakuna dawa...
 
Ulitaka akuletee viwanda ndani ya miezi minne kutoka wapi!!?? Let's be real on this. Uwe na adabu hata ya kununulia dagaa..Mh Rais hapayuki alikuwa anaeleza mikakati yake kwa Maendeleo ya kila MTANZANIA bila kujali Dini..Kabila wala Itikadi ya Chama.
Umejibu nusu nimesema kama la viwanda limemshinda kama alivyokuwa anapanyuka majukwaani basi mwambie atugawie ile milioni 50 kila kijiji....
 
Tatizo vijana wengi wanadhani kukimbilia mjini ndio suluhu ya matatizo wakati wanashinda kwenye pool table

Vijijini mashamba ni mengi sana na Tanzania bado ina mapori mengi sana vijana rudini huku vijijini mlime acheni kupuyanga mjini. Na hao wanao watetea nao siju wamekula maharage ya wapi?
wewe unalima? ili nijue naongea na mtu wa aina gani?
 
Umejibu nusu nimesema kama la viwanda limemshinda kama alivyokuwa anapanyuka majukwaani basi mwambie atugawie ile milioni 50 kila kijiji....
Milioni 800+ zimeshaidhinishwa kwa zoezi hilo na muda si mrefu utapata taarifa kwenye vyombo vya habari.
 
Back
Top Bottom