Rais Magufuli na 'mgonjwa aliyerogwa'

Rais Magufuli na 'mgonjwa aliyerogwa'

Jakaya sikumpenda wakati akiwa rais ila nilikosea. Jakaya umekumbukwa mapema. Nenda benki au waje wafanyakazi wa benki hapa waseme hali ikoje? Ona CRDB na NMB mabenki makubwa zaidi hapa Tanzania HOI!

Hili na kosa kubwa unalofanya, JK alikosea na aliharibu mno na huyu wa sasa ni even worse. Kujaribu kuwalinganisha ili upate mmoja mzuri ni makosa maana hayupo!

Hatupaswi kuangalia, kupima na kukubaliana na viwango duni (low leadership standards) wanazokuja nazo CCM kana kwamba wao ndio mhimili wa nchi hii.

Kwa nini usimpime JK na Uhuru Kenyatta kwa mfano? Au Kwa nini usimpime JK au Magufli na Ian Khama wa Botswana?
 
Tunaojua madhara ya kutibu mgonjwa au kutumbua majibu bila kuvaa groves tulisema machache lakin tukijua mtumbuaji afya/uchumi yake haiwezi kubaki salama, pamoja na nia njema aliyokuwa nayo lakin groves na mask vilikuwa muhim sana kwa afya yake, bila hivo unakufa pamoja na mgojwa.Hii ni ebola tuache utani.
 
Mdogo angu yupo CRDB anasema mikopo hailipiki hasa ile mikubwa kwa kiwango cha kutisha. Wanachofanya ni kusogeza mbele RESTRUCTURING na hata hiyo kusogeza miaka bado wateja wamekwama SI HOTELS tu bali yote!
 
Sijui why mnaamini vitu ambavyo sio halisia..
kama umeaharibu uchumi kwa kupandisha kodi holela
unatakiwa kupunguza tu ...hakuna namna
The Boss tatizo Magufuli ni sawa na mume mkaidi anajua kama yeye ndio mkosa na aombe samahani ili mke arudi nyumbani, lakini atajitia ari asiombe samahani. Magufuli kishajua kama uamuzi alioutoa sio sahihi lakini hataki kukubali kosa tu.
 
Hili na kosa kubwa unalofanya, JK alikosea na aliharibu mno na huyu wa sasa ni even worse. Kujaribu kuwalinganisha ili upate mmoja mzuri ni makosa maana hayupo!

Hatupaswi kuangalia, kupima na kukubaliana na viwango duni (low leadership standards) wanazokuja nazo CCM kana kwamba wao ndio mhimili wa nchi hii.

Kwa nini usimpime JK na Uhuru Kenyatta kwa mfano? Au Kwa nini usimpime JK au Magufli na Ian Khama wa Botswana?

Mkuu uko sahihi lakini kabla ya kujifunza hesabu za kugawanya nimeona nianze na za kutoa!
Kiuchumi na uchumi huu huu tuliosomea UD baada ya mwaka nchi inakolapsi. Pita madukani na viwandani achilia mbali hotels. Wafanyabiashara wanalipishwa kodi za 2012 to 2014 review ya kodi. Je baada ya review kodi itatoka wapi? Redundancy! Wawekezaji wanafunga mdogo mdogo mkuu! Acha mambo ya majukwaani
 
Huwezi kupata fedha kama hufanyi kazi............

Tunataka mzumguko wa fedha halali sio fedha chafu!

Walio katika hali ngumu ni ;
1.wafanyabiashara waliozoe kukwepa kodi!

2.Wapiga dili.

3.Watu wa semina na kupaa kwenda ughaibuni

4.waliokuwa wakinufaika na biashara holela

5.walio ichezea nchi yetu kama shamba la bibi,

Bora kufunga mkanda kwa muda mfupi ili tunufaike sote kuliko kila siku kuwa wasindikizaji wa matajiri wachache!
Kwan wakimu na madr walikuwa wanaajiriwa na wapiga deal ? Pesa za field kwa wanachuo zilikuwa zinatolewa na wapiga deal ? Think big mkuu
 
Mh. Ummi Mwalimu amejaribu kumshitua Raisi hata akasema " hamfahamu matani ya kisukuma"'? Lakini bosi kalala fofof fofoffofofoooooooo. Labda kije kimbunga lakini kwa hali ilivyo... Nilimshitua kumwita soda ya coca cola hapa jamii mara akaisema. "eti mimi ni soda ya cocca cora"". Hahhahahahaha utumbo tu.
 
Mi nataka kuwa mkweli maana msema kweli mpenzi wa mungu,nimeficha 50,000 chini ya kodoro sijui kama nayo naujumu uchumi
Kaitoe kabla hatujaanza kufyatua noti mpya[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Huwezi kupata fedha kama hufanyi kazi............

Tunataka mzumguko wa fedha halali sio fedha chafu!

Walio katika hali ngumu ni ;
1.wafanyabiashara waliozoe kukwepa kodi!

2.Wapiga dili.

3.Watu wa semina na kupaa kwenda ughaibuni

4.waliokuwa wakinufaika na biashara holela

5.walio ichezea nchi yetu kama shamba la bibi,

Bora kufunga mkanda kwa muda mfupi ili tunufaike sote kuliko kila siku kuwa wasindikizaji wa matajiri wachache!
Kwa nini hakuna pesa? Nani ameficha pesa?
 
Muda mfupi kwako ni upi?
 
Mkuu toa basi na suluhisho la kutibu ugonjwa.

Mimi naamini tulipokuwa tumefikia inabidi tuvurugane kwanza kisha mambo yakae vizuri. Sijaona Serena ikifungwa, sinaona Hyatt Regency ikifungwa. Zinazofungwa ni zile za deal, zile zilizokuwa zinategemea deal toka serikalini. Zile zilizokuwa zinategemea mikutano ya serikali kwa gharama kubwa ambazo zilihusisha cha juu!! Unakuta Ofisi nzima anahamia hotelini ili kufanyia kazi huko kwa wiki nne; wanalala, wanakunywa na kucheza muziki bili ikija ni mamilioni na waliohusika kuandaa wanachekelea njia nzima kwenda kujinyakulia cha juu.
Kiongozi una akili sana,naomba nikuulize unatumia kinywaji gani nna offer kinywaji chako pls
 
UMEANDIKA UZI MZURI SANA
ILA KUNA WAJI** WENGINE HUMU SIJUI KAMA WATAKUELEWA,MAANA YULE MTUK** NANI HAPENDI KUWA CORRECTED

OVA
Kuna vitu ukiviamini kwa asilimia 100 basi ni ngumu sana mtu mwingine kuja kukuambia vinginevyo.Ni sawa na mtu ambae anaumwa halafu anaamini 'kalogwa'

Mtu huyu hata umpeleke hospitali atakua tu bado anaamini 'kuna mkono wa mtu.

Ikitokea hospitali wamesema 'hana malaria' ndo kabisaa atazidi kuamini ni 'mkono wa mtu'.

Hadi itokee mtu mwingine ambae anaweza kumsikiliza ashauri 'hebu pima na typhoid' au 'pima UTI..' na akutwe na magonjwa apewe dawa apone ndo unaweza kidoogo kumfanya akusikilize vinginevyo watu dizaini hii wanaweza kufa au kusababisha kifo cha mtoto au ndugu anaeumwa.

Sasa hoteli zinafungwa na zingine zinauzwa, biashara zinakufa kwa wingi
pesa imepotea lakini Rais anaamini kuna 'hujuma' na dawa ni kuanza msako wa 'walioficha hela majumbani' au kuchapisha noti au kubadili noti.

Cha ajabu 'madaktari ' wetu nao wa kumwambia 'ukweli' kuhusu 'ugonjwa'
wako kiimya kabisa tunapiga ramli wakati magonjwa haya yana vipimo vyake
na dawa zake zinajulikana.

Hadi 'mgonjwa' afe ndo waje kusema ilikuwa 'typhoid'?
 
Bandarini jana walikuja na majibu ya kweli, sasa tusubiri tamko la "mgonjwa"
Mgonjwa kashasema wewe unaficha hela ndani sasa ni kubadilisha hela tu ili hizo za kwako ziozee humo ndani.

Lkn TRA tunavuka malengo haswa.

Ni akili za mgonjwa tu
 
Haya yote hayo yamebanwa,swali sasa;Kwanini Magufuli anatafuta mchawi kwa kusema watu wameficha fedha??????

Elewa kuwa sio watu wote wanafurahiswa au kupendezwa na jitihada anazozifanya Raisi, lazima kuna wachache watajitahidi kuvuta Kamba kwa namna yoyote ile ili kukwaza jitihada zilizopo.

Ndio maana tunasema watanzania wote Tuwe wazalendo tuipende nchi yetu tuwashinde wasio itakia mema!
 
Back
Top Bottom