Rais Magufuli na 'mgonjwa aliyerogwa'

Rais Magufuli na 'mgonjwa aliyerogwa'

Huwezi kupata fedha kama hufanyi kazi............

Tunataka mzumguko wa fedha halali sio fedha chafu!

Walio katika hali ngumu ni ;
1.wafanyabiashara waliozoe kukwepa kodi!

2.Wapiga dili.

3.Watu wa semina na kupaa kwenda ughaibuni

4.waliokuwa wakinufaika na biashara holela

5.walio ichezea nchi yetu kama shamba la bibi,

Bora kufunga mkanda kwa muda mfupi ili tunufaike sote kuliko kila siku kuwa wasindikizaji wa matajiri wachache!
Mnatumiaga viungo gani kufikiri? Mtukufu nae mwanzo aliamini kama unavyoamini wewe lkn siku zinavyokwenda anauona ukweli hadi anatishia kubadili HELA jiongeze ndugu
 
Tatizo vitu vya msingi, mnaweka siasa. Cjui mlisoma vyuo gani.
 
Siamini kama madaktari wameamua kumsusa mgonjwa kisa anajifanya anajua kila kitu
 
It must get bad, or worse before it gets better! Tuipe serikali support bado inajipanga, mabadiliko ni makubwa.
 
Wanaompinga magu wote ni wapiga deal na wasioitakia mema hii Nchi fullstop
 
Mkuu, na wewe ndo type ya huyu mgonjwa anayezungumziwa hapa. Yaani unaamini kabisa kwamba kila ambacho hakiendi sawa kiuchumi kwa sasa kilikuwa cha "deal"!
Tatizo watu wanaKariri....!
 
Tulien Mlitaka Tanzania ya Nyerere sasa ndo inakuja. Nidhamu na uadilifu wa Kiwango cha Juu sana lakini umaskini mpaka kwny Kope!

Sifa kuu ya Uteuzi ni uadilifu na Utii sio Creativity na flexibility.
 
Tulien Mlitaka Tanzania ya Nyerere sasa ndo inakuja. Nidhamu na uadilifu wa Kiwango cha Juu sana lakini umaskini mpaka kwny Kope!

Sifa kuu ya Uteuzi ni uadilifu na Utii sio Creativity na flexibility.

Na huu umasikini utaliza wengi
 
Kama ni kuambiwa anaambiwa sana tuu! ,tatizo ni kuamini analoambiwa! .

Ukishajenga pre conceived negativity kuwa watu ni wezi!, then hata ukiambiwa hakuna any economical activities za kusisimua uchumi, utaamini watu wanaiba hizo activities!.

Pasco
kweli mkuu
 
Sioni faida kuwa washauri viongozi waliostaafu wenye busara na hekima na viongozi wa dini wanaona mgonjwa anakaribia kufa lakini wanashindwa kufanya jitihada za kumrudisha duniani .
 
Wagonjwa ni sisi tuliokosa ubunifu wa kutafuta vyazo vingine vya pesa.
Wateja (serikali na watumishi wake) wamebanwa na wanatumia pesa zao kwa uangalifu kuliko zamani badala ya kulalamika kuitaka serikali irudi kwenye matumizi ya hovyo kama zamani inabidi tubuni biashara mpya, tutafute wateja wapya na mambo mengine ilituendeleze biashara zetu la sivyo hii nchi itapata recession but for the right reasons tuilishi kwenye bubble for too long.
Utapataje Mteja mpya kwenye Serikali isiyojua inasimamia Sera zipi za uchumi yaani mtukufu kila Mwenye HELA kwake yeye ni Mwizi
 
Ipo siku wenye chama watamtoa hali ikiwa mbaya zaidi
 
Back
Top Bottom